TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tanesco na nyie mnazingua, mmeshaambiwa tatizo lipo hapo Nyakato Mwanza, surveyor hataki toka ofisini kwenda kufanyia watu kazi mpka apewe rushwa, umekazana kutaka jina sijui eneo vya kazi gani na wadau wameshasema tatizo hapa, kuweni seriuos na maisha ya watu. Fuatilieni hiyo branch yenu hapo Nyakato ikiwezekana fukuzeni hao watu hapo
 
Ficha upumbavu wako, kwa taarifa yako baada ya tamko la waziri walileta nguzo na kusimika bila hata kufuatiliwa.

Pambana na hali yako mkuu.
Wewe ndiyo mpumbavu unayesifia ujinga na kitu kiko wazi kabisa kuwa baada ya kifo cha JPM hali imerudi ileile mbovu ktk utumishi wa umma
 
Sisi wakazi Wa ilala kata Ya buyuni zavala(chanika) ni ajabu eti mradi Wa REA umekatisha kwenye nyumba zaidi Ya 50,tumeambiwa hatumo kwenye mradi duuh..!!!..umeenda kuwashwa kwa mbele.. Nimebaki kumkumbuka mwendazake tuu........
 
Je ulifika ofisini kupata taarifa kamili? Tafadhali tusaidie namba yako ya simu na eneo husika upatiwe ufafanuzi na ofisi
 
Hawa Tanesco imekuwa ni shida mahali kote mwananchi mwenzangu issues ni hizo hizo, huku kwetu Kibaha - mkoa wa Pwani, kupata Control namba ili ukalipe ni mtihani kweli kweli na ukishalipa hiyo tshs.27,000/- kuja kufungiwa Umeme usahau, unaambiwa watu ni wengi sana hivyo hakuna wanachoweza fanya usubiri mpaka utakapofikiwa zamu yako. Mh. Kalamani tusaidie!
 
Tanesco na nyie mnazingua, mmeshaambiwa tatizo lipo hapo Nyakato Mwanza, surveyor hataki toka ofisini kwenda kufanyia watu kazi mpka apewe rushwa, umekazana kutaka jina sijui eneo vya kazi gani na wadau wameshasema tatizo hapa, kuweni seriuos na maisha ya watu. Fuatilieni hiyo branch yenu hapo Nyakato ikiwezekana fukuzeni hao watu hapo
Tumekuomba taarifa zako ili tupate pa kuanzia tafadhali toa ushirikiano wako wakati mwingine unakuta kuna maelezo ya kukamilisha umepewa haujakamilisha
 
Tumekuomba taarifa zako ili tupate pa kuanzia tafadhali toa ushirikiano wako wakati mwingine unakuta kuna maelezo ya kukamilisha umepewa haujakamilisha
Habari wapendwa wateja wetu mnaotumia Jamii forum

TANESCO imejizatiti kuwasikiliza na kuwahudumia ipasavyo, tafadhali tunaomba ushirikiano wenu wa kutoa taarifa kama ifuatavyo

Eneo

Jina

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Unaweza kutuma PM au hapa nasisi tutazifatilia na kuzifanyia kazi

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

Makao Makuu
 
Nimeshawafuata inbox week ya pili jinsi gani wanachi wanateseka bila huduma yenu, Mnasema mnafatilia hakuna Mabadiliko yoyote mpaka leo,mnataka taarifa ipi?
Tafadhali weka taarifa kamili, tunawasihi ifahamike kwamba kwa maswala ya miradi ya umeme muda wa utekelezaji ni muhimu sana
 
Tafadhali weka taarifa kamili, tunawasihi ifahamike kwamba kwa maswala ya miradi ya umeme muda wa utekelezaji ni muhimu sana
Mwezi Mzima nguzo zimesimikwa wire zimepita ,Huu uzembe Mkubwa sana na inaonesha kiasi gani uongozi umeshindwa kuwahudumia wananchi,sehemu nyingi ni Minguzo tu imesimama
 
Mwezi Mzima nguzo zimesimikwa wire zimepita ,Huu uzembe Mkubwa sana na inaonesha kiasi gani uongozi umeshindwa kuwahudumia wananchi,sehemu nyingi ni Minguzo tu imesimama
Habari wapendwa wateja wetu mnaotumia Mitandao ya kijamii

TANESCO imejizatiti kuwasikiliza na kuwahudumia ipasavyo, tafadhali tunaomba ushirikiano wenu wa kutoa taarifa kama ifuatavyo
Wilaya

Eneo

Jina

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Unaweza kutuma inbox au hapa nasisi tutazifatilia na kuzifanyia kazi

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

Makao Makuu. JM
 
Waziri ni yule yule kipenzi cha JPM.
Shida nini??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Waziri ni yule yule kipenzi cha JPM.
Shida nini??

Everyday is Saturday...............................
Habari wapendwa wateja wetu mnaotumia Mitandao ya kijamii

TANESCO imejizatiti kuwasikiliza na kuwahudumia ipasavyo, tafadhali tunaomba ushirikiano wenu wa kutoa taarifa kama ifuatavyo
Wilaya

Eneo

Jina

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Unaweza kutuma inbox au hapa nasisi tutazifatilia na kuzifanyia kazi

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

Makao Makuu. JM
 
Jamani Tanesco Kibaha kwanini hamfanyi majukumu yenu? Watu wamelipia tshs.27,000/- kufungiwa umeme inakuwa big issue, kuwapatia Huduma hiyo, tuambieni jamani tatizo liko wapi kama ni list kuwa ndefu ya wateja wengine wanaosubiri kufungiwa mbona hatuoni watu wakipungua? Kama kuna ada nyingine tuambiwe, mnatukwaza…… tunadhani Gov’t ifikirie other Eletricity Co. kushindana na Tanesco hizi mambo hazitakuwepo unafanya tu ku switch Co. moja ikizingua kama ilivyo kwenye mitandao ya simu…. Urasimu utapungua sana. Thank you.
 
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?

Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?

Season ya nyumbu migration imeanza rasmi
Hata iweje si hoja yenye mashiko kutetea "shetani" kisa nguzo za umeme kusimikwa bila umeme.Kwani enzi zake nchi ilikuwa ya "asali na maziwa?" Shida zilikuwepo,ameziacha na wengine watafanya kadri wawezavyo.Ila "uchwara" hayupo, FULL STOP!
 
Back
Top Bottom