TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
Ndugu mpendwa Mteja wetuJamani Tanesco Kibaha kwanini hamfanyi majukumu yenu? Watu wamelipia tshs.27,000/- kufungiwa umeme inakuwa big issue, kuwapatia Huduma hiyo, tuambieni jamani tatizo liko wapi kama ni list kuwa ndefu ya wateja wengine wanaosubiri kufungiwa mbona hatuoni watu wakipungua? Kama kuna ada nyingine tuambiwe, mnatukwaza…… tunadhani Gov’t ifikirie other Eletricity Co. kushindana na Tanesco hizi mambo hazitakuwepo unafanya tu ku switch Co. moja ikizingua kama ilivyo kwenye mitandao ya simu…. Urasimu utapungua sana. Thank you.
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM