TANESCO watimiza ahadi ya Rais Magufuli kwa Bakhresa


chuchu16

chuchu16

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
840
Likes
489
Points
80
chuchu16

chuchu16

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
840 489 80


Dar es Salaam. Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limetekeleza agizo la Rais John Magufuli la kupeleka umeme katika katika kiwanda cha Bakhresa wilayani Mkuranga.

Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco, Felchesmi Mramba amesema kuwa agizo hilo limekamilika Novemba 30, 2016 ndani ya muda aliotoa Rais Magufuli.

Amesema umeme tayari umefika lakini Bakhresa alikuwa hajaweka miundombinu ya kuunganisha na ameagiza vifaa vinavyotakiwa ili kupata umeme huo.

Rais Magufuli alipotembelea kiwanda hicho cha juisi alitoa miezi miwili kwa Tanesco kufikisha umeme katika eneo hilo

Chanzo: Mwananchi

 

Forum statistics

Threads 1,273,433
Members 490,382
Posts 30,481,498