TANESCO wasitisha mgawo wa umeme

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Source: TBC1

mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi?

http://www.mwananchi.co.tz/biashara/-/7233-tanesco-wasitisha-mgawo-wa-umeme
 
Source: TBC1

mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi?

Waandishi wa habari wakiwa kwenye ziara hizo, wawe armed with his previous comments,current data n statistics na maswali ya accountability kuwa je next year this time mgao ukija unaachia ngazi??
 
Ngeleja, kwa kusema hayo tu, kuna mijitu itataka kukupakazia kwa ku sabotage umeme, kama kawaida yao.
 
katatua tatizo kivipi?wakati ni 14 % ya watanzania wana umeme usio kua wa uhakika?unajua gharama ya kufungiwa umeme kwa sasa ni zaidi ya 1M jee ni watu wangapi wanamudu kiasi hicho?siasa hizo tumezizoea unakumbuka mwaka jana wakati anawasha tena IPTL alisemaje?
 
Kwanza hakukutakiwa kuwe na mgao wa umeme why!! hivyo hakuna chakupongezwa hapo. Sasa hivi kulipia service line bila ya nguzo no 1.6million, for a pole you have to pay separately and i think its 2.5 million per piece and still you have to wait as currently none in stock.
 
@ gurudumu! mbona hauleweki? mbwembwe za mawaziri wengine na kuisha kwa mgao wa umeme mbona havina uhusiano? umetumwa vibaya hebu jipange ndo uje hapa...! kwani umesikia daraja limebomoka likaachwa kuwa repaired! au unataka fly overz zijengwe over a night..?? usiwe mvivu wa kufikiri...!
 
Source: TBC1

mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi?

Na kama ukiwepo tena tumfanyeje? mie ntapigana!!
 
Kwanza hakukutakiwa kuwe na mgao wa umeme why!! hivyo hakuna chakupongezwa hapo. Sasa hivi kulipia service line bila ya nguzo no 1.6million, for a pole you have to pay separately and i think its 2.5 million per piece and still you have to wait as currently none in stock.
no source no right to speak! Service line without nguzo ni 460,000 single phase na laki 7 , 3phase nimekarabati kibanda changu juzi! Pole ni one mik
 
tumetatua tatizo sisi wananchi tuliokemea na kuwalazimisha kuchukua hatua, otherwise kama kawaida angeendelea kulala!! tunamsubiri kwenye agenda za madini....
 
Watanzania wakidanganywa kidogo tu kwa maneno ya uongo basi husahau shida zote na kuanza kushabikia hata ujinga sijui ni nani alituroga.....
Yeye huo umeme atamaliza mgao kwa viogezo gani kwanini asingesema kwanini kulikuwa na mgao?
 
Just spoken to my friends in Mwanza wapo gizani kama kawa..... au Dar ndio Tanzania......
 
Ina maana mvua zimeshanyesha za kutosha kujaza mabwawa? Mbona alisema mgao wa umeme ulitokana na kupungua kwa kina cha maji? Sasa hayo maji kayatoa wapi hadi atangaze kwamba mgao wa umeme ndo mwisho?
 
Waandishi wa habari wakiwa kwenye ziara hizo, wawe armed with his previous comments,current data n statistics na maswali ya accountability kuwa je next year this time mgao ukija unaachia ngazi??

Safiiii!!!! Hii nimeipenda!
 
@ gurudumu! mbona hauleweki? mbwembwe za mawaziri wengine na kuisha kwa mgao wa umeme mbona havina uhusiano? umetumwa vibaya hebu jipange ndo uje hapa...! kwani umesikia daraja limebomoka likaachwa kuwa repaired! au unataka fly overz zijengwe over a night..?? usiwe mvivu wa kufikiri...!

sawa bana mi mvivu wa kufikiri. Nisaidie basi we mwene bidii ya kufikiri. Hivi Richmond/Dowans haikutoka na mgao pandikizi? Nisaidie kufikiri ni hasara kiasi gani hadi sasa hivi tunaingia?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
tumetatua tatizo sisi wananchi tuliokemea na kuwalazimisha kuchukua hatua, otherwise kama kawaida angeendelea kulala!! tunamsubiri kwenye agenda za madini....

Unafikiri mafisadi wanakemewa Kama mapepo? Kwani 2006 wananchi hawakukemea? Poa tusubir madini
 
"mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena"..............NDOTOOOOOOOOOOOOOOOOO.
 
Anasema mgao umekwisha??
anaweza kutueleza kwa nini mpaka usiku huu umeme hamna kigamboni?? walikata ahsubuhi na kuurisha jioni na sasa wamefyeka tena. Walioko kigamboni mtujuze hali ya huko inavyoendelea pls
 
Unaumwa wewe, weka hizo risiti hapa, nyie ndo mtakuwa mnawekewa umeme wa wizi. Mwizi mkubwa wewe.
Nimelipa 1.4 serive line ya single phase
 
Back
Top Bottom