Luku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe.

Ifike mahala tukubali sio kila kitu ni hujuma na TANESCO sio malaika. Mifumo kufeli au kupata hitilafu ni jambo la kawaida muhimu ni kupunguza muda wa tatizo ili madhara yasiwe makubwa.

Wanaolaumu utadhani wao wakipewa uongozi basi watafanya kazi kama malaika yaani watakuwa perfect na mifumo itakuwa perfect milele. Muhimu taifa/tanesco kuongeza kuwekeza katika R&D ili mifumo iwe thabiti Zaidi!
 
Luku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe....
Uko sawa ila katika mashirika yanazingua nchi hii ni Tanesco,pamoja na kwamba wanafanya kazi nzuri ila wanaleta hasara kubwa sana kwa wananchi.

Hivi kwa dakika 5 unakata umeme mara7 kweli kama sio kutaka kuunguza vitu vya watu ni nini
 
Luku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe.

Ifike mahala tukubali sio kila kitu ni hujuma na TANESCO sio malaika. Mifumo kufeli au kupata hitilafu ni jambo la kawaida muhimu ni kupunguza muda wa tatizo ili madhara yasiwe makubwa.

Wanaolaumu utadhani wao wakipewa uongozi basi watafanya kazi kama malaika yaani watakuwa perfect na mifumo itakuwa perfect milele. Muhimu taifa/tanesco kuongeza kuwekeza katika R&D ili mifumo iwe thabiti Zaidi!
Hasara usemayo sio ya Tanesco Ni Sisi wenyewe WATANZANIA,ilo ni shirika la Uma mapato yanayopatikana hapo Ni Kwa ajili ya maendeleo ya WATANZANIA Ni kweli kwamba mifumo huwa inazingua lkn walipaswa kulijua ilo mapema na kutafuta backup mapema sio kusuburi mpaka tatizo litokee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nasoma computer science....katika programming hakuna hitirafu ,na hata virus ni program ya computer inayofanya kazi kwa kuipa ubize computa au kupiga copy au kudelete files muhimu na ni mtu anaeza tengeneza virusi, hebu nirud kwenye point, program ikiandikwa haibadiliki, ni pure number ile, I mean automation is perfect, Kama ilivo 1*1=1 it can't change.

Changamoto huwa ni pale uneunda program kwa Kaz flan na ofisi ikaongeza matumizi au huduma ambazo hujaziprogram, yaan zifanyike manually. Jawabu ni kwamba programmers huwa wanachokonoa system ili wapige pesa ya maintenance, Kwan huwa wanaacha backdoors za wao kuingia na kuedit mifumo, hvo program ni solution ya ku automate shughuli mbali mbali, hazibdiliki na ni lazma mumlipe programmer pesa nyingi Kwan inahtajika solution ya haraka ili Mambo yasisimame,,, believe me namuona mtu akipga pesa ndefu nyuma ya hil tatzo, labda Kama wameuzma ili kuboresha huduma
Umeme nilio nunua tarehe 17, may unagoma kuingia hadi nimeenda tanesco,nimenunua mwingine. Ko wa mwanzo nisha pigwa
 
Ahsanteni Sana TANESCO Kwa kunifikia maana jumamosi ya tarehe 15/01/2022 mlifika na kuniunganishia UMEME.
Niliambiwa nikanunue UMEME kabla ya huu wa kuanzia kuisha.
Jana nikafika pale TABATA segerea Sheli Ili kununua UMEME maana Kwa matumizi YANGU Bado nina 5units.

KILICHONISIKITISHA NI KUTAKIWA KULIPA 53,470/=YANI ELF HAMSINI NA TATU MIA NNE NA SABINI.
NIKAULIZA KWA NINI NILIPE HVYO WAKATI METER NI MPYA NA NILIWEKEWA UNITS 10 PEKEE MTOA HUDUMA AKANIAMBIA INAONEKANA NILIPEWA UNITS 150.
AKANISHAURI NIENDE TANESCO PALE TABATA POSTA.
NIKAFANYA HIVYO NIMEONANA NA UONGOZI ILA NIMEAMBIWA HAWANA NAMNA KUNISAIDIA NILIPIE TU HIYO 53,470/ MAANA NINAONEKANA NIPO KWENYE 3 PHASE.
NIKAULIZA KWANI FOMU YANGU YA KUOMBA KUUNGANISHIWA UMEME IMEJAZWA VIPI??NA SURVEYOR ALIJAZA NINI NA MBOJA NIMELIPA ELF 27 PEKEE.
DEOGRATIUS KONDOWE
0714 411041
METER 24 3103 6060 7
TABATA KINYEREZI.
 
Surveyor ulimpa Ile elfu ishirini wanayodai kila wakisurvey au ulichomoa?
Kuna mmoja aliniomba hiyo elfu ishirini Kiluvya Hawa wanatokea Kibaha, nikamuuliza hapewi mshahara ? Akanyamaza.
Baadaye nakwenda Tanesco kuchukua makadirio nilikua natakiwa kulipia nguzo tatu three phase.
Nilichofanya niliapply upya na kuchukua surveyor mwingine na kumpa 20,000 rushwa fasta tu nikapewa bill ya nguzo mbili.
 
Mbona Kuna mgao wa kimya kimya?
Si tulikubaliana tuwe tunapeana taarifa jamani? Sasa hii nyama kilo 10 iliyoko kwa fridge Nani atani-refund
 
Back
Top Bottom