nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,736
- 6,972
Ni jambo la kushangaza sana baada ya kuona bei za mafuta ghafi imeshuka halafu ada za kununua LUKU zimepanda.
Je, huku ndiyo kusimama na wanyonge kama Mh. Rais anavyosema?
Au TANESCO mmeamua kumuhujumu Mheshimiwa Rais kwenye mbio zake za kuhakikisha wanyonge wanapata unafuu wa maisha?