TANESCO wanasema hawajui lini tatizo la LUKU litatatuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO wanasema hawajui lini tatizo la LUKU litatatuliwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by No admission, Mar 10, 2012.

 1. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamvi;

  Kwa masikitiko makubwa leo nimeongea na customer service wa Tanesco akanihakikishia kuwa hawajui lini mita za LUKU zitapatikana. Nililipia gharama za kuunganishiwa umeme tangia October 2011.

  Hivi Tanzania inaelekea wapi? Nimeamua kununua solar panel kwani hawa jamaa watafanya niwe nalala mapema kila siku kukumbia giza.

  MUNGU IBARIKI TANZANI NA WAANGALIE VIONGOZI WOTE WALIOTUFIKISHA HAPA
   
Loading...