Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Mbezi Msakuzi eneo maarufu linaitwa kwa Lipelanya kuna line hazina umeme siku ya 3 hii, TANESCO mnakwama wapi mnatukatisha tamaa hatuoni tofauti na TANESCO ya miaka ile kwa hali hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app