TANESCO wamezidi sasa

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
Nafikiri serikari yetu imeshindwa kuendesha inchi kama sio wameshaiuza maana umeme wanavyoukata utadhani dozi ya panadol kutwa mara tatu,

hivi hawa TANESCO wanalipia mabilioni ya fedha kwa Ajili ya umeme wa dharura ili iweje kama umeme unakatika all the time.
 
Hakuna jipya hapa....matatizo haya yapo tokea tupate uhuru. Mtalalamika, mtachoka, mtaacha, mtasahau kidogo, halafu mtaanza tena kulalamika na mzunguko utaendelea hivyo hivyo with no end in sight.
 
Tanesco hawafai,dawa pekee nikuweka makampuni mbadala yakuzalisha umeme,ikiwezekana kilamkoa kuwe nashirika la kuzalisha umeme,inatakiwa kuwe na ushindani kama yalivyo makampuni yasimu sasa,kumbuka zamani ukiritimba wa ttcl ulivyokua unatesa wateja je kwasasa unaonaje ktk mitandao yasimu mambo shwari,kuna jirushe,jiachie,sheleleka nk nk,mambo poapoa tu ktk huduma za mawasiliano,na tanesco wakipata mpinzani itakua imekula kwao.
 
Back
Top Bottom