Not necessarily! Kwa wapumbavu kama sisi!Kila hatua ya maendeleo huambatana na changamoto pia.
Not necessarily! Kwa wapumbavu kama sisi!Kila hatua ya maendeleo huambatana na changamoto pia.
Mmmh kidhungu!Khaa!
itafutwe "altenative", siku zote kuna zaidi ya njia moja ya kutatua tatizo, lakini JPM ni kama ana "obssesion" na bomoabomoa, ndio njia pekee anayoionaWewe ulitakaje?
Ni PPF mkuu,ambalo nalo ni shirika autonomous chini ya serikali.Alikuwa amekodi kwa Mwenye Jengo ambayo kwa taarifa za kunyapia nyapia siyo Goverment...
Inapingika vzr icpokua rais mwenyew anajua sheria na hajakurupuka kufanya ivyoKauli ya Rais haipingikiki kabisa especially Africa huku rais ana power mno
Kwa hiyo Gharama za Upangaji walikuwa wanakula PPF wakati Tanesco walikuwa na Uwezo wa Kujenga Jengo lao na siku kukaa kwenye Nyumba ya Kupanga.. This is another Fish to be observedNi PPF mkuu,ambalo nalo ni shirika autonomous chini ya serikali.
Mkuu watz nimabingwa wakuvunja sharia yaani hadi hiyo serikali nayo pia niyaleyale ndiyo maana jamaa kasema hata kama ni serikali lazima ifate sheria.Ivi wanavyobomoa majengo ya watu,alafu wanaanza lini kujenga barabara zao
Si mnasema ni la fulani kakodisha kwa serikali??Halafu wajenge tena kwa kodi zetu?? Huu ni upumbavu mkubwa