TANESCO wakubali kubomoa jengo lao, waahidi upatikanaji wa umeme wakati wa kutekeleza agizo hilo

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Dawasco2.jpg
 
Kwani lile Jengo lilikuwa la Tanesco au Lilikuwa limekodishwa na Tanesco.. Kwa kifupi Mwenye Umiliki wa Jengo lile siyo Tanesco Tanesco wanalipa Kodi hicho kilimuuzi Mkuu tangu akiwa Waziri...
Alikuwa amekodi kwa nani? Term zao zilikuweje
 
Nilisika mitambo inayotoa huduma ya luku upo pale kwa hiyo wasijetulaza na giza maana ni kazi kubwa kuamisha mitambo bila kuleta itirafu kidogo
 
Libomolewe tu mbona sisi za kwetu tumebomoa kwa maumivi makubwa.!
 
waombe Kiwanja cha kujenga maeneo ya kibamba, kiluvya, ktk wilaya ya ubungo, kuna maeneo makubwa sana yenye nafasi, na pia itapunguza msongamano katikati ya jiji.
sasa ndio wakati wa kutanua mjia wetu kwa kuboresha viunga vyetu, wilaya ya ubungo ina fursa ya maeneo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom