TANESCO waanza kuwajali wateja!

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,706
Kwa mara ya kwanza jana nimeona wafanyakazi wa shirika la umeme Tanesco wakitutangazia tatizo lililotokea la umeme maeneo ya Gongolamboto,Pugu hadi Chanika.

Wamepita mitaani na vipaza sauti waliomba radhi kwa kuharibika kwa transfoma iliyoko karibu na kiwanda cha Kilitex na kwamba wapo kwenye marekebisho wananchi tuwavumilie.

Kwa kweli huu ni uungwana na mfano wa kuigwa!
 
Back
Top Bottom