TANESCO: Tutafanya Marekebisho ya LUKU, wateja kushindwa kununua Umeme siku ya Alhamisi

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Taarifa kwa Umma

Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapolekea wateja kushindwa kununua Umeme kwa njia zote siku ya Alhamisi tarehe 24, March 2016 kuanzia saa 5 usiku hadi tarehe 25 March 2016 saa 11 Alfajiri.

Sababu za kukosekana kwa huduma hiyo ni : Matengenezo ya kuboresha mfumo wa LUKU.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Imetolewa na ofisi ya uhusiano TANESCO makao makuu.
 
ONDOENI SERVICE CHARGE NI WIZI MKUBWA NI SAWA NA MASHIRIKA YA AIRTEL, TIGO VODA ETC TUNALIPIA HUDUMA SO TUUZIENI HUDUMA SIO KUTUIBIA MBONA MNAGEKA WAKOLONI KWA SISI WATANZANIA WENZENU KWA KUTUNYINYA BILA HURUMA?
 
Waacheni waendelee kukuza vitambi vyao kwa kunyonya wanyonge, watakapokufa miezi 6 baada ya kuzikwa watakuwa skeleton kama sisi hohehahe!
Halafu eti Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ni Mlokole. Au ulishapiga chini ulokole? Wakati uko chuo cha maji pale Ubungo ulikuwa kiongozi wa CASFETA ukichemka na mambo ya Yesu! Siku hizi vipi au ndiyo tuseme PESA imekuwa tamu kuliko WOKOVU?
 
Back
Top Bottom