Akiongea katika kipindi cha Jambo Tz afisa wa TANESCO amesema muda si mrefu watanzania watapata umeme wa uhakika km nchi zingine za ulaya, kwani hadi sasa wanazalisha MW 1501 tu.
TANESCO pekee yaweza itoa CCM madarakani endapo Watanzania tutaamua, sema tatizo la Watanzania wajinga ni wengi na wanadangamywa na kitu kidogo sana, huu umeme tumedanganywa mara majenereta yanawashwa leo hii umeme kila siku wakatika
Tanesco wahuni kuna magenerator ambayo yana uwezo wa kuzalisha mpaka MW 300 na zaidi kwa pamoja na bei zake sio izo tunazoambiwa na diesel inatafuna kidogo tuu nashindwa kuelewa kwa nini wasingetafuta mbadala huku wakiendelea na kutatua tatizo.
Ulichosema ni kweli, sis maneno mingi mingi mipango hakuna. Wenzutu wa Kenya mipango na bajeti za kukabili El Nino iko ya Kitaifa na za Majimbo. Kweli sikio la kufa halisikii dawa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.