TANESCO tuleteeni umeme Mbeya Vijijini baadhi ya vitongoni tuko chini ya miguu yenu

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
698
1,000
Kaya nyingi hapa mbalizi hazina Umeme tamko toka tanesco mkoa wa mbeya kupitia viongozi wa vitongoji walisema Tusuke umeme kaya zote ambazo hazina umeme na tukapewa na fomu kabisa na watendaji na wenyeviti wa vitongoji watu wakakopa mpk hela kusuka umeme haraka haraka ili umeme ukija uingizwe bila tatizo.

Yapata miaka 3 sasa Hakuna kinachoendelea kby zaidi unashangaa Mtu analetea Nguzo mbili ukimuuliza anakwambia nimetoa laki 7 ndyo wameleta hzo nguzo na ushahidi ninao nilipiga picha ile fomu mliyomlipisha hzo hela.

Wewe mnyonge ukienda pale tanesco mbeya unaambiwa Serikali haijaleta nguzo wala mita sasa swali hzo nguzo na mita mnazouza laki 7 mnatoa wapi?

Kitongoji cha Nsalala Mbeya Vijijini tunawaona uhuni mnaoufanya kila siku kwa kuuza nguzo kwa wenye pesa wkt serikali imetoa tamko ni bure nchi nzima.

Tukumbukeni sisi wanyonge wa nchi hii.
 

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
698
1,000
Yn mkuu katika idara za serikali idara inayoongoza kwa ubabaishaji ni Tanesco hasa mbeya.
Mwanzoni walisema kwamba msichanganywe na matamko ya wanasiasa kwamba wanasema umeme bure lkn vifaa hakuna serikali haijaleta
Swali Je?
Kwa sasa huu umeme wanaouza kwa ma laki saba vifaa wanavitowa wapi?
Ngoja tuone ila yana mwisho.
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,405
2,000
Tanesco hawana miguu yule Twiga wao ana kichwa tu, sijui huko chini ya miguu mmefikaje...giza likizidi tumieni sola na majenereta🐒
images (2) (15).jpeg
 

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
698
1,000
Kibaya ni kutuhumu Taasisi kama haitendi niliyosema lakini ushahidi ninao wa nilichoandika wenye fedha ata nguzo ziwe tatu atapelekewa.
Lakini raia masikini ma fomu yapo kwao zaidi ya miaka 3.
Huu ushahidi najua sehemu sahihi ya kuupeleka ili ufanyiwe kazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom