Mkuu mikakati hupangwa mwaka hadi mwaka, mikakati ukiisoma ni very promising kusema ukweli, ngoma inakuja kwenye utekelezaji!Mkataba wa IPTL ulisema toka mwanzo mwekezaji atabadili mitambo yake kuwa ya GAs pale gesi itakapoanza kuzalishwa, sasa toka kipindi cha Ali Hassan Mwinyi mpaka kipindi cha Nkapa kimepita Suala hilo ambalo tulielezwa ni dogo tu, hakuna hatua, mpaka Leo hii Kikwete na Serikali yake wanaagiza mafuta mazito ili kuendesha mitambo ya IPTL, na labda mpaka serikali ya Invisible/august/Rev/mwanakijiji nk itakuwa hivyo hivyo.????/
Mkuu, kwanza ieleweke wazi kua mara nyingi watunga sera ni watu wanaolipwa posho nyingi kwa kazi hiyo, na mara nyingi huenda kwenye miji tulivu kama Arusha kule Ngurdoto ama kwenye hotel yoyote tulivu.Mkuu mikakati hupangwa mwaka hadi mwaka, mikakati ukiisoma ni very promising kusema ukweli, ngoma inakuja kwenye utekelezaji!
BAK nimeipitia hii news leo. Nikawa na maswali mengi ambayo hayakupata majibu. Mf performance ya 2009 unaiona hapo? Pia hiyo idadi ya wateja ni ya kweli? Hivi target ya tanesco ni kuunganisha wateja 100, 000 kwa mwaka kwenye nchi ambayo less than 10% ndio wenye access na power.
Haisemi mafanikio. Haina brakedown ya miaka. Yaani hawa watawala????
Sasa maana yake nini unaenda kujadili miaka mitatu. Kwani inahitaji nguvu kiasi kuandaa statements au ripoti kwa wakati. Mie niliisoma nikawa kimya maana nilikuwa nina interest mwaka 2008 na 2009. Sasa mpaka ripoti iwe tayari interest itakuwa imeshahama. Hivi kwanza financial statements zao ni public??Mkuu Bnhai, ndiyo tatizo la hawa Parliaments Parastatal Organisation Accounts Committee (POAC) ripoti zao zinakuwa ni za miaka ya nyuma sana. Kwa mfano hii ripoti yao inagusa miaka ya 2004 hadi 2007. Hiyo ripoti ya 2009 labda itatolewa miaka mitatu au minne baadaye. Inawezekana ripoti yenyewe ina break down za miaka, labda mwandishi wa article hii hakuna kama ina umuhimu wa kuiweka kama ambavyo mimi na wewe tunavyouona.
BAK,
Hivyo Tanesco inaingia gharama kubwa sana kwa ajili ya ule umeme wa kununua kutoka makampuni mengine. Si heri hizo fedha wangenun ulia mitambo mipya na kuiendesha wao wenyewe?
..