Tanesco tena, usiku wote Tanga City hakuna umeme

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,972
Habari ndiyo hiyo. January anazunguka na Rais, hajui Kama huo Umeme wa Kigoma nao Ni white elephant Kama sisi tulio kwenye grid ya taifa.

Kumbuka uhalifu wote unafanyika usiku, Sasa Giza Totoro usalama wa watu na Mali zao inakuwaje? Makamba tafakari.

Narudia, of all, be it electrical, mechanical even civil engineers wote Tanzania, hawafai ila January Makamba? Nchi hii Mungu aiangamize aumbe watu wengine wapya.
 
Pambana na hali yako
Watu waoga nyie
Njoo hapa California sasa hivi ni kama mchana full umeme
 
Back
Top Bottom