Yaani Hili Shirika Lina Matatizo Mno, Kila Uchao Matatizo Ni Yale Yale Tu!! Hivi Grid Ya Taifa Ndani Ya Wiki Mmoja INAKATA Mara 2 Sasa, Hali Inayopelekea Kukosekana Kwa Huduma Ya Umeme Karibia DAR Nzima!! Sijui Tatizo Lenu Ni Lipi Hasa, Ni Pesa Za Kufanya Ukarabati Au Kuzidiwa Kwa Shirika Lenu!!!?