Tanesco tatizo ni nini tena, au mtumbuliwe?

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hbr Waungwana!! Hivi Hawa TANESCO Si Tulitangaziwa Kuwa Baada Ya Kuwashwa Kwa Ile MITAMBO Ya Kinyerezi Na Ubungo, Suala La KUKATIKA (MGAO) Utakuwa Historia!!!? Sasa Hiki KINACHOJIRI Ni Kipi Tena!!?? Kama Mnataka Kufanya MATENGENEZO Yenu, Basi Watangazieni Wateja Wenu TANESCO!! Sasa Umeme Unakatika Tokea Saa 5.30 Asbh. Hadi Saa Hizi Bila Bila!! Hivi Shirika Hili Linatoa Huduma Ya KIBIASHARA Au MSAADA (HISANI) Kwa Wateja Wake!!!?? NADHANI Kati Ya MAJIPU Ambayo Yameiva Kitambo Tu, Lililokosa MTUMBUAJI Ni TANESCO!!
 
Tehe! Tehe! Tehe!! Kweli Mkuu, Ila Jamaa Wanazingua Mno!!
 
Back
Top Bottom