SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA ILALA KWA AJILI YA MATENGENEZO
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme leo asubuhi Februari 18, 2016 kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya usambazaji umeme kwa wateja. Maeneo yatakayoathirika ni Hospitali ya Aghakan, Mtaa wa Rutihinda, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Protea Hotel na maeneo ya Sea view Upanga. Umeme utarejea saa 11.00 jioni baada ya matengenezo katika maeneo hayo kukamilika.
Wateja wote walitangaziwa kupitia vyombo vya habari.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu