TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa Umeme kwa baadhi ya maeneo katika mkoa wa mbeya

hakuna shida

Member
Dec 16, 2015
25
5
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MBEYA.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa
Mbeya kuwa line ya Chunya imezimwa leo Februari 13, 2016 saa 3.00 asbh kwa ajili ya kubadili nguzo na kukata matawi ya miti yanayogonga line hiyo. Maeneo yatakayokosa umeme ni Makongolosi, Mkwajuni, Mamba na Lupatingatinga.

Wateja wote walijulishwa kupitia vyombo vya habari. Magazeti, Redio na kupitisha gari la Matangazo. Umeme utarejeshwa saa 11 jioni baada ya matengenezo hayo.

MATENGENEZO HAYO YANALENGA KUONDOA KERO YA UMEME KUKATIKA MARA KWA MARA KATIKA MAENEO HAYO.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.
 
Back
Top Bottom