Saa nane na dakika 17 Umerudi na saa name dakika 18 mmekata tena.Kuna Nini mbonà mnatutesa nyie watu
 
Wana tabora malolo komba masai tunashukuru kutusogezea uduma ya umeme nguzo tumeziona bado Transfomers hatuzioni tunaomba mtuwaishie na sie tunufaike na uduma yenu
 
Hivi kwanini Masasi mmetuondosha kwenye umeme wa gas na kutuwekea umeme w grid ya Taifa inayotoka Makambako ambapo umeme unasumbua hivi? Na unasababaisha maji kutokutoka na wananchi sisi tunahangaika!?
 
Wakuu hii si kawaida...haijawai tokea umeme kukata namna kwa miaka karibia 6 sasa....

Kwakwel....watanzania sis ni watu wema saaana dunian.

Kongole sana kwetu...

Tanesco oyee...huo ukarabat mnaojitetea nao.inamana nchi ambazo umeme haukatik hawafanyag ukarabat

Nahis kuna watu wanacheza na maisha ya wa Tz...kongole kwenu wenye dhamana na energy n power Tz...kongole sana...na tozo mnakata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Jamaa walitangaza SAA 12 jioni wanarudisha , mpaka saa hizi SAA moja usiku bado tu ,tupo kwenye Giza
 
Tangu mwezi wa nane mwaka jana watu tumelipia kila kitu lakini kutwa kuzungushwa tu. Tunaambiwa meter hamna ,sasa hili linatuhusu nini sisi?

Hivi nyie Tanesco hamuelewi kuwa ukishamfungia mtu umeme unaanza kumkata rundo la kodi maisha yake yote?
 
jana nimeenda kazini shati kama utumbo walikata mpaka usiku maana nilikosa umeme wa kupiga pasi na hii style nanunua pasi ya mkaa kwa kweli
 
Tulifika eneo lako mwezi wa Tisa na kugundua kuwa upo umbali wa zaidi ya mita 120 hivyo mpaka tusogese miundombinu ya umeme ndio unaweza kupata huduma, tumepokea taarifa kwa hatua zaidi

Tulifika eneo lako mwezi wa Tisa na kugundua kuwa upo umbali wa zaidi ya mita 120 hivyo mpaka tusogese miundombinu ya umeme ndio unaweza kupata huduma, tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Sijui aliyefanya savey aliamua kunihujumu maana kwangu ni kama nguzo 2 ila kwasababu kuna nyumba umezuia nguzo ilibidi kuna ile nguzo ndogo kwaajili ya ku jumpa ambayo ni kama mita 5 hivi ndio upate njia ya kuingia kwangu ambapo ni nguzo 2 tu sasa sijui utanisaidiaje kwani saveyor inainekana kafanya makosa hapo kusema ni nguzo 3 wakati mahitaji yangu ni 2 ila kuna nguzo imezuiwa na nyumba ilibidi kusogeza 5mita tu je hiyo 120+ inatoka wapi? Naomba msaada wako nimekwamishwa
 
Back
Top Bottom