NAITWA Deogratius Kondowe
Nimelipia toka 27/10/2021.
Eneo TABATA KINYEREZI
Sijaunganishiwa UMEME.
NAMBA 0714 411041.

Naamini kupitia jukwaa ili na thread hii NITAFIKIWA MAPEMA ZAID.

0714411041,Ahsanteni
 
Tunashukuru kwa taarifa tutakufikia
 
Hatimaye baada ya kulipia tar 3/9 leo nimeletewa nguzo wamesema watarudi siku nyingine kuichimbia na kuniunganishia.
Dah yani mpaka huduma ikufikie unanyooka
 
Ongera sana ndugu,Hakika ili shirika linafanya sana kazi tena wakiwezeshwa wangefanya usiku na Mchana.
TANESCO BADO KWANGU KUUNGANISHIWA TU TABATA KINYEREZI DSM
0714 411041
 
Binafsi ninapokaa na nguzo ilipo hata wakija saa 8 usiku maana ni hatua 4 tu za kutembea.
 
Ongera sana ndugu,Hakika ili shirika linafanya sana kazi tena wakiwezeshwa wangefanya usiku na Mchana.
TANESCO BADO KWANGU KUUNGANISHIWA TU TABATA KINYEREZI DSM
0714 411041
Shukrani sana, japo sijajua itachukua muda gani kurudi kuichimbia na kuunganishiwa umeme maan hapo unaweza ambiwa hakuna mita
 
Shirika la Umeme Tanzania mngekuwa mko kibiashara mngeruhusu nyumba moja iwe na mita zaidi ya moja,kwa kufanya hivi mtakusanya pesa nyingi sana kwani kila mtu atailipia buku buku zile kila mwezi.

Tatueni hii kero ya nyumba za kupanga maana kwa kweli imezidi kukuwa.
 
Tafadhali zingatia kuhusu kiasi unacholipia kupata mita nyingine, je kinaendana na gharama ya mita? Je hicho kiasi kilichozidi unakifidiaje? Hapa ni swala la gharama, kwa sasa mita moja tunakufungia kwa tsh 27000 tu, je inatosha kununua mita na vifaa vingine kukuunganishia? Je tukikifungia mita zaidi ya moja inaongeza mapato? Jibu hapana ndio maana wateja wanashauriwa kufunga vifaa vya kusoma matumizi yao vinavyopatikana maduka makubwa ya vifaa vya umeme kwa bei ndogo.
 
Hivyo vifaa vinaleta migogoro sana kwenye nyumba,hizo mita hata ziwe laki wateja sisi tutanunua tu,angalieni kuhusu hili,kama kuna uwezekano ruhusuni wazabuni walete mita maana kilio chenu ni kutokuwa na mita za kutosha...mteja awekewe mita na awe anakatwa buku buku kila mwezi.
Fanyeni kazi kama mitandao ya simu muone kama hamjazikimbia hela..yaani mtapata pesa kuliko TRA.
 
Mmh
 
Tunaendelea kukuelimisha kuwa tatizo sio uwepo au uhaba wa mita bali tumekupimia tumeona mahitaji yako yanatosha mita moja ya njia moja au tatu, ikitokea unachangamoto za wapangaji una nafasi ya kununua vifaa vya kusemea matumizi ya kila mmoja kwa bei ndogo kabisa na ukalitatua hilo badala ya kutaka Shirika kukufungia mita zaidi ya moja ambayo ni hasara na kunyima wengine haki ya kupata huduma.
 
Tunashukuru kwa ufafsnuzi mzuri umeeleweka.
 
Back
Top Bottom