Nimelipia leo

Umelipa TSh 4,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:37135334748. Muamala: 65170713880. Jumla ya Makato TSh 80. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 12. 26/10/21 12:40.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je umenunua kwa mtandao gani na namba ya simu uliyotumia tafadhali
 
Habari.

TANESCO Morogoro mna shida kubwa haiwezekani ndani ya mwezi sasa mnakata umeme baada ya muda mfupi kitendp hiki ufanywa hata mara 5 kwa siku.

Tatizo ni nini!?
 
Mteja mpya, nimelipia tar 3/9/2021 na leo ni 26/10. Natambua kuna foleni lakini ongezeni speed kidogo giza linatesa jamani
 
Utaratibu wa Matumizi madogo upo au ndio umeondolewa?
kama upo Unapaswa kufanyaje ili Kuwekwa kwenye hiyo huduma
Maana namatumizi madogo sana ya umeme TANESCO
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13

Ahsante sana
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13

Ahsante sana
Pole sana hawa jamaa ni shida wamekaa kiwizi mbaya mno unatanguliza malipo ndo
Savea aje hiyo pesa kama ni biashara mzunguko wake kwa siku umepata hasara
Pole sana jamaa yangu nashindwa kuwaelewa kwa nn Tanesco ni wasumbufu
Hivi ?pesa wanazo nyingi tu wanakwama
Wapi ?
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13

Ahsante sana
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Mbona kinondoni B,Mjini umeme unakatwa
Naambiwa wakikata saa tatu kurudi saa 12 jioni

Ova
Hata mbezi Beach wamekata hii kitu inaitwa TANESCO kwakweli bila kuigawa kuwa mashirika mawili tutaendelea kupata shida sana hapa nchini.

Imagine nafanya kazi umeme umekatika Yani dah na wakikata hii mida ujue mpaka saa 12 au saa moja jioni na sijui Nani aliwaambia ni lazima iwe hivyo.
 
Mbezi beach pia mmekata dah mnatuumiza sana ninafanya kazi ya watu Ina deadline naona mmeamua kutukomesha
Wapendwa wateja tunaomba Radhi kwa katizo la umeme laini ya TG 2 muda huu.

Mafundi wetu wanafuatilia kujua chanzo Cha katizo ili kuhakikisha huduma inarejea katika hali yake

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza
 
Wapendwa wateja tunaomba Radhi kwa katizo la umeme laini ya TG 2 muda huu.

Mafundi wetu wanafuatilia kujua chanzo Cha katizo ili kuhakikisha huduma inarejea katika hali yake

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza
Good job umerudi huku mbezi beach. Kudos
 
Naskia kino bado

Huko wataenda mpaka jioni

Ova
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)

TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA BAADHI YA WATEJA WA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kaskazini linawaomba radhi kwa wateja wake wa maeneo ya Oysterbay, Kinondoni, Msasani pamoja na maeneo ya jirani kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia muda mfupi uliopita.

JITIHADA
Mafundi wetu wanafanya jitihada ili kuweza kubaini chanzo cha tatizo na kurekebisha ili kuhakikisha huduma inarejea katika hali ya kawaida.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza

Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.

Wasiliana nasi kwa simu na.zifuatazo: Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 0716768584/0784768584

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- KINONDONI KASKAZINI
27-10-2021
 
Back
Top Bottom