Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme,BUSEGWE BUTIAMA transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka.
Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?
Swala la nyie kuja na kuunganisha transformer ya karibu ikasambaza umeme mnashindwaje?

Mita zingine mmeweka juu ya nguzo na umeme ukiisha zinajilock hadi mje mpande juu ya nguzo ndo mzifungue. Mkiitwa makaa siku mbili ndo mje, mara ooh hakuna usafii MUNGU ANAWAONA

Ukitaka kuungiwa umeme ndo usiseme, mnataka mbebelezwe miezi miwili.
TANESCO KERO NA MATESO YAMEZIDI HAYAVUMIIKI
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Wilaya ya BUTIAMA, KATA YA BUSEGWE, eneo la Busegwe tatizo transformer iliharibika tangu tarehe 9/9/2021. Taarifa hiyo ni kamili, taarifa zipi zaidi unahitaji?
 
ndugu mteja,
nunua umeme wa zaidi ya 2000 kwa ajili ya makato ya kodi ya pango
Makato ya pango ni kwa kila mtanzania au ni kwa wale wenye majumba. Mimi ni mpangaji. Niliomba separation kujiondoa kwenye kero la kulipishana umeme zaidi ya matumizi yangu.

Sasa napata kero ya kulipishwa pango. Hii ni lazima hata lwa wasio na majumba?
 
Meter nimelipia toka tarehe 23-04-2021...leo tarehe 18-09-2021...sijafungiwa umeme alafu mnaona kawaida tu, sihitaji nguzo maana nguzo ipo hapohapo uwanjani kwangu.

Nikaenda kuomba nyingine maana ile ilikuwa na visingizio vingi, nikafata taratibu, nikalipia toka tarehe 23-08-2021...bado giza tu.

Makamba yupo humu apitie changamoto hizi aone jinsi wateja tunavyotaabika kupata huo umeme
 
Meter nimelipia toka tarehe 23-04-2021...leo tarehe 18-09-2021...sijafungiwa umeme alafu mnaona kawaida tu, sihitaji nguzo maana nguzo ipo hapohapo uwanjani kwangu...
Nikaenda kuomba nyingine maana ile ilikuwa na visingizio vingi, nikafata taratibu, nikalipia toka tarehe 23-08-2021...bado giza tu...
Makamba yupo humu apitie changamoto hizi aone jinsi wateja tunavyotaabika kupata huo umeme
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Siku za starehe ndo wanajua kukata umeme ili umuhimu was taaluma zao zionekane ,wanaboa sana hawa watu
 
Usambaji wa umeme sasa ni suala lisiloeleweka na kwa namna linavoenda naona harufu Kali ya rushwa.

Mabalozi ndo wamepewa jukumu la kuandikisha watu katika maeneo Yao ambao bado Hawajafungiwa umeme.

Ajabu sasa nguzo huletwa mpaka maeneo ya walengwa.

Amini usiamini walioletewa nguzo hujikuta hawakuwekewa na nguzo zimeisha.

Hakuna mpango maalumu , kupata umeme sasa ni discretion ya mwenyekiti , balozi, wakishirikiana na syndicate ya Tanesco/ Rea.

Inashangaza sana. Muda ujao nitataja maeneo ambayo mchezo huu umekithiri na wahusika.
 
KUNA SHIDA KUBWA TANESCO.
KUNA USANII MWINGI SANA NA SIASA.
TANESCO WANASEMA HAKUNA KUNUNUA AU KULIPIA NGUZO LAKIN WATEJA WANAOHITAJI NGUZO HAPA MLANDIZI HAWAPEWI CONTROL NUMBER KULIPIA WALE AMBAO HAWAHITAJI NGUZO WANAUNGANISHIWA HARAKA.

SWALA HILI KAMA SIO USANII BASI LINAKARIBISHA RUSHWA MAANA YA NEGOSIATION NA WATENDAJI WA TANESCO.

KULIKO KUCHELEWESHA WATEJA BORA URUDISHE UTARATIBU WA KULIPIA NGUZO MAANA TUNAKOELEKEA MALIPO YATAKUWEPO ILA YATAKUWA YANAENDA KWENYE MIFUKO YA WATUMISHI WA TANESCO
 
Au tupo kwenye mgao wa kimya kimya ? maana hii nchi tangu mwenda zake afariki chochote kinawezekana sasa hivi , Tanesco unakata umeme asubuhi mpaka saa 1 jioni bila hata taarifa , nchi ngumu sana hii
 
Au tupo kwenye mgao wa kimya kimya ? maana hii nchi tangu mwenda zake afariki chochote kinawezekana sasa hivi , Tanesco unakata umeme asubuhi mpaka saa 1 jioni bila hata taarifa , nchi ngumu sana hii
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Back
Top Bottom