tanesco tegeta tunahujumiwa mita zikiharibika tunakaa wiki mbili tunadanganywa kama watoto, mimi ni mhanga nina wiki sasa wamaundi wananizingua
 
TANESCO TUPO KUKUHUDUMIA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA -24/7

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

Zingatia

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Nawaheshimu TANESCO makao makuu. Kupitia hii thread nimepata msaada wa namba ya malipo ambayo nilikuwa nikizungushwa Sana na watu wa wilayani zaidi ya nusu Mwaka, lakini baada ya kulalamika hapa, mlinisaidia kuwasiliana nao na mwanzoni mwa mwezi huu nimepata msaada wa namba ya malipo na nimeweza kulipia siku hiyo hiyo! Kwa Sasa BADO nasubiri waje wanifungie umeme.

Nilichokuja kufahamu katika hili, TANESCO makao makuu mpo serious Sana katika utendaji wenu kuhakikisha mnafanikia strategic plan ya serikali kuhusu nishati ya umeme. Kinachowapunguzia kasi ni utendaji legevu wa TANESCO ngazi za chini.

Nashauri katika mfumo wa uongozi wa TANESCO, kuwe na monitoring and evaluation experts ambao watapima na kuratibu utendaji kazi wa watumishi wenu hususani ngazi za chini na ku report kila wiki makao makuu. Mfano, customer care wa TANESCO wamekuwa na kauli na majibu ya kikatili kwa wateja wao, Jambo linalopelekea si tu maudhi na kupungua kwa kasi ya kuenea kwa Huduma ya shirika, Bali pia kupungua kwa Uhusiano mwema Kati yenu na jamii. Mfano, sisi tukipiga simu kuulizia mchakato wa Huduma ulipofikia mnatujibu-jibu Kama mnavyotaka nyie alafu mtarajie tukiona watu wanaohujumu miundombinu ya shirika tutoe taarifa kwenu,Hapana! Lakini kungekuwa na wataalam wanaofuatilia maongezi ya customer care ngazi za chini na wateja na kuyaratibu wangekuwa wanachunga kauli zao

Naunga Mkono Hoja.
Bila kuwa na mfumo unaotoa report za utendaji kazi wa kila siku. Tutaendelea kulaumu tu.

Mimi nimewahi kujitolea kupeleka sehemu miundombinu ya Umeme kwa Kulipia gharama zote. Ila sikupewa ushirikiano.

Sasa najiuliza . Hivi wote tuna nia moja ya kuusogeza uchumi.?
 
Niliomba kuingia.kwenye mfumo wa Tariff ziro... lakini baada ya kupewa change pin siwezi kununua umeme, kila nikiununua narudishiwa hela toka.kwenye muamala nilioufanya huu unaenda mwezi wa pili naishi bila umeme..

nikawasiliana na huduma kwa wateja kwa simu wakanipa namba zakuwasiliana na tanesco ya eneo nilipo napo nikapewa change pin tena na bado siwezi kununua umeme.

Chanzo cha tatizo.. mwanzo niliingizwa kwenye tarrif ziro nikatolewa bila maelezo yoyote hivyo nikarudishwa kwenye matumizi ya kawaida na nilipowafuata kuomba tena wakakubali kunirudisha na hapo ndipo tatizo lilipoanzia.

Nipo Morogoro
Mita No. 54193233985

Mi ni mtu wa kusafiri safiri kutokana na shughuri zangu na kwa sasa sipo Moro je naweza kusaidiwa.
 
Ingiza sasa kwa kuanza za kwanza kama umeme wa kwanza kisha za pili kama umeme wa pili
 
Asante!
Ila kama haitaleta usumbufu, naomba kupatiwa Ref No. Ya tatizo langu na ikibidi na hizo Change Pin kwa mara nyingine.
 
NAITWA GODLIZEN MATARI NI MKAZI WA TABATA, LEO NI SIKU YA NNE TOKA UMEME ULIPOKATIKA NYUMBANI KWANGU ILA KWA MAJIRANI ZANGU UNAWAKA NA NIPO NAO LINE MOJA.
TAARIFA NILITOA TAREHE 31.12.2020, LAKINI SIJAFANIKIWA KUPATIWA MSAADA WOWOTE, KILA NIKIENDA NAAMBIWA WANAKUJA ILA HADI MUDA HUU NIPO KIZA NA BAADHI YA BIDHAA ZANGU ZA BIASHARA NIMESHAANZA KUTUPA KWA KUHARIBIKA. KWA KWELI NASHINDWA KUELEWA HII TANESCO KWANINI HAITUPATII USHIRIKIANO SISI WATEJA WAKE AU KWA KUWA NI SHIRIKA PEKEE LINALOTOA HUDUMA HII NDIO WANATUNYANYASA KIHIVO.
 
Tafadhali onyesha namba ya taarifa na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Habari za wakati huu ndg,
Nivumilie uandishi wangu ila nina tatizo huku zaidi ya mwezi na nusu sasa tangu umeme ulipoisha kwenye nyumba. Maombi nilituma 2017/18 kabla ya mradi wa REA haujafika nilipo ila umeme zilipata mwaka jana mwishoni. Kauli ya Mh Rais ilitusaidia wengi kuharakishiwa service line na kuunganishiwa huduma ila mpaka zinafungiwa sikuwa nimepewa control number hivyo zile unit za mwanzo zilipokwisha nimejaribu kwenda ofisi ya Tanesco inayonihudumia (Babati/Manyara) sijapatiwa ufumbuzi zaidi ya wao kuchukua namba za mita na kuambiwa nisubiri nitatumiwa control number kisha nilipie. Nikishakamilisha malipo niwapigie simu watafanya activation ya meter zangu. Hiyo ni November mwaka jana.

Nimesubiri mpaka naandika huku ni kwamba chuma la kupokelea umeme limeibiwa, (imagine) sijui watakuja kuiba nini tena maana wamegundua nyumba hazina umeme.
Wiring nilirudia sababu ya nyumba kukaa muda mrefu bila miundo mbinu hiyo kutumika, kuna uwezekano nayo nitasubiri mpaka zichakae tena nikisubiri kuendelea kupata huduma??
 
Tafadhali onyesha namba ya simu na namba ya mita kwa hatua zaidi
 
Samahani TANESCO, Mimi Ni mteja mpya nimefungiwa umeme leo na Mradi ulitekelezwa na REA. Wenzangu wamepewa units 50 kila mmoja lakini Mimi nimepewa units 10 tu! Sababu ni Nini?! Pia naomba kujuzwa nipo kwenye daraja gani la tarrif maana kwa utofauti uliojitokeza Nina wasiwasi.
Namba ya meter ni 37220559852
Namba ya simu ni 0621149433
Nipo Kilindi mkoani Tanga
 
Back
Top Bottom