hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,446
- 6,311
Me mwenyewe nko mitaa ya General tyre hapa nashangaa ni majenereta tuu Yana nguruma ....dah Yan cyo pouwa
Maybe kuna mgao wa kimya kimya
Me mwenyewe nko mitaa ya General tyre hapa nashangaa ni majenereta tuu Yana nguruma ....dah Yan cyo pouwa
Kwa iyo ile REA tunayokatwa wakati wa kulipa bili ni mali ya serikali?Tunapenda kukujulisha kuwa miradi ya REA inawesezeshwa na Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, pili maeneo yote ya vijiji iwe REA au vingenevyo wateja wote wanalipia tsh 27000 tu.
Tunapenda kukujulisha kuwa miradi ya REA inawesezeshwa na Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, pili maeneo yote ya vijiji iwe REA au vingenevyo wateja wote wanalipia tsh 27000 tu.
Siyo kuwachafua ila ndo uhalisia, kama unabisha hebu jaribuni kutembelea ofisini zenu sehemu ya maulizo tu pale ambapo formu zinapopokelewa, halafu muangalia tarehe na muangalie pia idadi ya fomu ambazo ziko pending.Tunaomba ushirikiano wako kwani kutoa tuhuma bila ushirikiano ni kushindwa kusaidia kutatua tatizo.Tunaomba taarifa kamili maana wakati mwingine mnakutana na vishoka mtaani mnaandika na kutuchafua kwanini usiwe muwazi hatua zichukuliwe?
Ukiuliza hivyo utaambiwa wewe sio mzalendo unataka kukwamisha juhudi za kuleta maendeleoHabari ya mda huu wana jamvi.Nipo hapa Masasi almost miezi 3 sasa,kitu Cha kushangaza ni huu mtindo wa umeme kukatika na kuwaka yaani imekua ni kitu Cha kawaida kabisa.Suala la umeme kukatika hata mara 10 per day ni kawaida tuu na Wala hawatoi taarifa yoyote Cha kusikitisha zaidi wenyeji hawana time ya kuhoji.Mfano Jana umeme wamekata asubuhi wamerudisha saa Saba usiku.Please Kama Kuna wahusika humu naomba wanijuze kunani Tanesco Masasi?Povu ruksa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha Sana,hapa nlipo na type gizani wamekata toka saa mbili.Ukiuliza hivyo utaambiwa wewe sio mzalendo unataka kukwamisha juhudi za kuleta maendeleo
pole sana mkuu.hili shirika linabaazi ya wafanyakazi wake ni miungu watu wanazarau sana.ila kunawengine wako safi.hao watu wa dharula wengi wao hawafai kabisaTANESCO TANESCO TANESCO .. mbona mnatutesa hivi jamani???? niko gizani tangu saa moja jioni sasa ni saa tisa kasoro usiku.. kuunganishiwa umeme nilikopa.. nikapeleka hela tanesco almost 3.9m.. ili kurudisha deni, ninafanya biashara ya nyama ya kuku na samaki na nina mafreezer nyumbani. Mnataka kuniua na ugonjwa wa moyo jamani???? Tanesco ninawaomba kwa heshima na taadhima sikilizeni Wateja wenu.. nilitoa lalamiko langu juzi kuhusu umeme kukatika wiki hii mfululizo nyakati za jioni maeneo ya Gomba Estate kata ya Manyire - Arusha. Tunahudumiwa na kituo cha Usariver.. kila nikipiga simu za dharura usariver wanasema watatuma mafundi.. wiki nzima sasa hamna unafuu na hali inazidi kua mbaya. Tuhurumieni jamani.. mtatuua kwa presha.. kuunganisha umeme tunalipa, luku tunalipia, bado mtutese kiasi hiki??? Hata Mungu wa mbinguni anawaona..
Asante sana mkuu. Umeme umekatika jana jioni saa moja. Umerudi saa kumi na mbili na dakika 9 asubuhi, ukawaka dakika 5 umekatika tena. TANESCO mbona hivi jamani....pole sana mkuu.hili shirika linabaazi ya wafanyakazi wake ni miungu watu wanazarau sana.ila kunawengine wako safi.hao watu wa dharula wengi wao hawafai kabisa
TUNAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU KWA UFATILIAJI ZAIDITANESCO TANESCO TANESCO .. mbona mnatutesa hivi jamani???? niko gizani tangu saa moja jioni sasa ni saa tisa kasoro usiku.. kuunganishiwa umeme nilikopa.. nikapeleka hela tanesco almost 3.9m.. ili kurudisha deni, ninafanya biashara ya nyama ya kuku na samaki na nina mafreezer nyumbani. Mnataka kuniua na ugonjwa wa moyo jamani???? Tanesco ninawaomba kwa heshima na taadhima sikilizeni Wateja wenu.. nilitoa lalamiko langu juzi kuhusu umeme kukatika wiki hii mfululizo nyakati za jioni maeneo ya Gomba Estate kata ya Manyire - Arusha. Tunahudumiwa na kituo cha Usariver.. kila nikipiga simu za dharura usariver wanasema watatuma mafundi.. wiki nzima sasa hamna unafuu na hali inazidi kua mbaya. Tuhurumieni jamani.. mtatuua kwa presha.. kuunganisha umeme tunalipa, luku tunalipia, bado mtutese kiasi hiki??? Hata Mungu wa mbinguni anawaona..
Ni eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhaliHabari ya mda huu wana jamvi.Nipo hapa Masasi almost miezi 3 sasa,kitu Cha kushangaza ni huu mtindo wa umeme kukatika na kuwaka yaani imekua ni kitu Cha kawaida kabisa.Suala la umeme kukatika hata mara 10 per day ni kawaida tuu na Wala hawatoi taarifa yoyote Cha kusikitisha zaidi wenyeji hawana time ya kuhoji.Mfano Jana umeme wamekata asubuhi wamerudisha saa Saba usiku.Please Kama Kuna wahusika humu naomba wanijuze kunani Tanesco Masasi?Povu ruksa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala hili hatuwezi kulijibu moja kwa moja mpaka kupata taarifa kamili kutoka ofisi ya eneo lako tafadhali tupatie namba ya mita na namba ya simu. AIDH mteja anawajibika kulinda miundombinu ya umeme iliyotumika kumpatia umemeMimi ni mwananchi ktk wilaya ya karagwe, kwa ajili ya shughuli za kiuchumi nyumba yangu iliyoko Kayanga karibia na Ofisi za Tanesco wilayani, siishi huko. Watu walikwenda kwenye nyumba yangu wakaiba Meter ya umeme, mpaka. Nikalipoti kwenye ofisi za Tanesco na kulipoti Polisi kuhusu wizi huo.
Mpaka ninapo andika huu ujumbe sijawahi kurudishiwa umeme.
Swali, Je inakuwaje mita yangu inaibiwa? kwani kuna soko la hizo mita?