NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,731
- 2,324
Eneo nililopo linahitaji kama nguzo Saba,Tafadhali kama.umekamilisha wiring fika ofisi ya TANESCO ya eneo lako chukua fomu kisha utapatiwa gharama halisi ya makadirio
Wiring nilishaweka. Kukuuliza wewe , nimesikia kina mpango wa umeme Jazilizo kwa mtaa wa Nyankumbu na Mwatulole Mkoani Geita according to Kalemani, je wewe unazo taarifa hizo.?
Sio kila MTU ana muda wa kwenda ofisini kwenu.
Naomba msaada wako.
Currently nipo nje ya mji.