TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,701
Fika ofisi ya eneo lako na kitanbulisho chukua fomu utapimiwa na kuambiwa kiasi cha kulipa kisha utalipa na kufungiwa umemeNaomba Kujua, ni utaratibu upi unaotumika Geita kwa sasa ili mtu aweze kuunganishiwa umeme.
Kunayo Kauli ya waziri wa Nishati Bwana Kalemani, ambayo inasema kuunganisha umeme ni TSh 27K kwa Geita.
Naomba ufafanuzi