roservelt
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,418
- 1,510
Niko Maeneo ya Moshi-Marangu... Huduma zinazotolewa na office za wilaya za Tanesco Himo -Moshi ni mbovu mnoo.
Ilichukua miezi 9 toka kulipia gharama za kufungiwa umeme ndio wakaleta nguzo na kuzisimamisha. Takribani mwezi umeisha lakini bado hawajafunga nyaya za umeme, nikiwapigia wanadai material hakuna.
Msaada please.