Nimeriport nguzo imeoza na ina line nne za umeme nina zaidi ya wiki 3 wamekuja kuangalia na wamebaini niyakutoa sijui wamelwama wapi nyaya zipo juu ya bati sina amani kabisa.kituo ni cha tazara naishi kiwalan fatilia ref no3128 hiyo
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali
 
Kuna swali nataka kupata majibu kutoka kwenu tanesco,,,inakuwaje nguzo ninunue Mimi alafu iwe Mali yenu?lakini nilisikia kuwa nguzo kwasasa ni bure kwa wateja je ni kweli?nawasilisha
 
ishu ya umeme vijijini bado kuna magumashi unalipia zaidi ya miezi miwili na hujaunganishiwa bado ,
Hawa jamaa bwana, Nashauri serikali wanted outsource kukawa na makampuni Mengine ya uzalishaji na Uuzaji wa umeme Kama walivyofanya kutoka TTCL kukawepo na Makampuni mengine Kama vile Tg, Zantel, Airtel, Voda, Hallotel, Sasatel, Smart....nk...... WANGENYOOKA MAANA SI KWA KURINGA HUKO NA MAKATIZO YAO YA UMEME KILA KUKICHA MALA NGUZO MARA MAREKEBISHO .... NONSENSE
 
Tunaomba tukusikilize mpendwa mteja wetu

Jina

Eneo

Simu

Tatizo

Wilaya
 
Kuna swali nataka kupata majibu kutoka kwenu tanesco,,,inakuwaje nguzo ninunue Mimi alafu iwe Mali yenu?lakini nilisikia kuwa nguzo kwasasa ni bure kwa wateja je ni kweli?nawasilisha
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tambua kuwa nguzo haiuzwi bali mteja analipia gharama halisi ya kufungiwa umeme ndani yake panaweza pakawa na vifaa kama mita, wire, nguzo, seal nk hivyo kusema kuwa nguzo inauzwa ni sawa na kusema hivyo vingine pia mteja kauziwa
 
Naomba mnifungulie meter ambayo ni mpya nimewasha inaandika connect then ina fail naambiwa kuna namba ilibidi nipewe naomba msaada wenu 37212825998
 
Niko maeneo ya Arusha mjini kata ya sokon one mtaa wa lolovono mkabala na uswahili street
Ombilangu kwenu ninyi Tanesco hususani wa mkoa huu wa Arusha tunashukuru kwa kutu sambazia nguzo mpaka mitaani pongezi sana..
Lakini kingine napenda kuwaauliza mbona kuna baadhi ya mitaa mmeruka hamkuwapatia nguzo?
Lingine pia ni muda gani unapaswa kusubiri pale endapo unataka kuweka umeme nyumbani kwako toka uchukue fomu..
Huduma za umeme upo kama kawaida nawatu wanaendelea kutumia shida nikwamba zoezi hili liko sloow sana.
 
Mtaa

Wilaya

Simu

Tafadhali
 
Imefungwa lini? Je ukinunua umeme unapata ujumbe gani? Wilaya eneo na namba ya simu tafadhali
Jana nimefungiwa umeme lakini haukuwaka nikaambiwa meter imejilock sijawasha hata taa ndo tatzo nipo bagamoyo. Hii meter inaandika connect baada ya muda inafail nipo vikawe bondeni.0714792012
 
Sijaitumia hata kidogo wanasema imejilock
 
Ihi rekodi inayoekwa Lindi na mtwara
Ya kukatikakatika kwa umeme Mara nyingi zaidi duniani inasababishwa na Nini jamani mbona hatuelewi wateja wenu?
 
Back
Top Bottom