Nimeomba huduma tangu Januari 2019 na contractor alifanya kazi ya mchoro wa nyumba...kugonga mhuri na fomu ikarejea Tanesco. Mbona hawaniiti kunipa makadirio ili nilipie na hatimaye nifungiwe umeme?
Wilaya: Iramba
Kata:Kinampanda
Eneo/ kitongoji: Kitusha-Kanisani
0768407939
 
TANESCO kwanza poleni kwa majukumu ya kupiga kazi. Siku hizi naona wale walevi waliokua wanawaletea sifa mbaya wametumbuliwa wote.
Je? Nitafanyaje niingie kwenye tariff D1(4) ya kulipa sh 9100 units 75. Natumia chini ya unit 60 kwa mwezi. Niko mkoa wa pwani halmashauri ya mji
 
Upo eneo gani, namba ya simu na tatizo tafadhali
Nipo kahama, Tanesco wamepitisha waya juu ya paa la nyumba yangu, kuelekea kwa jirani yangu, na bado wiring kuelekea kwenye nyumba ya huyo jirani yangu imepitia kwenye ukuta wangu. yaaani ni hatari hatari, tumeandika barua ya malalamiko kwenda Tanesco wilaya kahama kipindi cha mwezi na nusu sasa ni kimya. number ya simu nakupm.
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiaji zaidi
 
Nimeomba huduma tangu Januari 2019 na contractor alifanya kazi ya mchoro wa nyumba...kugonga mhuri na fomu ikarejea Tanesco. Mbona hawaniiti kunipa makadirio ili nilipie na hatimaye nifungiwe umeme?
Wilaya: Iramba
Kata:Kinampanda
Eneo/ kitongoji: Kitusha-Kanisani
0768407939
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Nimenunua umeme vizuri kwa njia ya simu lakini tatizo nikiingiza token kwenye CIU kinagoma huwa kama kinasachi tu na umeme hauingii na mara kwa mara kanaandika namba 30
Tatizo laweza kuwa ninI?
 
Tanesco mlinitaka niwe mvumilivu kuhusu kupatiwa umeme wa REA kwenye kitongoji cha KIJUKA kata Kassambya Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera niliwaeleza kila kitu. Lakini nazidi kusubiri hadi naishiwa pumzi nahisi nimesha sahaulika. Tafadhali sana naomba kuona ama kusikia tena kutoka kwenu juu ya kitongoji hiki cha KIJUKA kilichobakizwa katikati kama kisiwa bila umeme.
 
Imetimia miezi mitano sasa toka nimelipia umeme ila bado sijaunganishiwa huduma hiyo tanesco tatizo ni nini mpaka mnadanganya wananchi
 
Naombeni msaada.
Nilikwenda TANESCO kuomba kuunganishiwa huduma ya umeme.
Surveyor alikuja kuchukua vipimo na mchoro. Kisha nilikwenda kuchukua gharama na nikalipa kabisa.
Kwa bahati mbaya surveyor badala ya kuandikia nguzo mbili, aliandikia nguzo moja na ndiyo iliyolipiwa na imeletwa tayari. Kwa hiyo basi, sijaunganishiwa umeme kutokana na kukosekana kwa nguzo moja.

Je, nitafanyaje ili kupata huduma hii ya umeme?
 
Je ukipatiwa maagizo gani na ofisi ya eneo lako? Jina?simu?wilaya yako tafadhali
 
Imetimia miezi mitano sasa toka nimelipia umeme ila bado sijaunganishiwa huduma hiyo tanesco tatizo ni nini mpaka mnadanganya wananchi
Jina

Eneo

Simu

Tarehe uliyolipa

Wilaya
 
Tanesco mlinitaka niwe mvumilivu kuhusu kupatiwa umeme wa REA kwenye kitongoji cha KIJUKA kata Kassambya Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera niliwaeleza kila kitu. Lakini nazidi kusubiri hadi naishiwa pumzi nahisi nimesha sahaulika. Tafadhali sana naomba kuona ama kusikia tena kutoka kwenu juu ya kitongoji hiki cha KIJUKA kilichobakizwa katikati kama kisiwa bila umeme.
Swala hili tumekupatia majibu mara kadha tunaomba uvumilivu wako
 
Nimenunua umeme vizuri kwa njia ya simu lakini tatizo nikiingiza token kwenye CIU kinagoma huwa kama kinasachi tu na umeme hauingii na mara kwa mara kanaandika namba 30
Tatizo laweza kuwa ninI?
Mita namba

Wilaya

Eneo

Simu

Kinachokea ukiingiza umeme
 
Tanesco msiwe wabaguzi kujibu hoja za wateja wenu . Nimeleta ombi langu kwamba nimelipia huduma ya kupatiwa umeme mpk leo hawajaja kunifungia kwan hapahitajiki nguzo nimefanya malipo ofisi zenu bagamoyo naomba msaada
Mita namba

Wilaya

Eneo

Simu

Kinachokea ukiingiza umeme
 
Nimeambiwa ama nilipie tena nguzo nyingine au nisubiri hadi mteja mwingine wa uelekeo wangu atakapolipia nguzo ili tuweze ku-share.
 
Naomba kujua mita 24211416151 inadaiwa kiasi gani maana ni mwaka Wa tano sasa nakatwa tu kila nikinunua LUKU
 
Back
Top Bottom