Tuna malalamiko kwa hawa customer cares hapa kimara wamejaa Dharau na kujisikia, ukiwapigia simu wanakujibu kwa dharau, hawapokei simu za wateja! kifupi wanakera, watoeni mtuletee wengine tafadhari
 
TANESCO haki kweli kusubiri siku sitini za kazi kuanganishiwa umeme? bahati mbaya pia zinapita, watu tumelipia na nguzo kabisa jama tunahitaji kuhamia makwetu sio fair
 
Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika
 
Naomba kupata ufafanuzi kutoka Tanesco Mtwara,Kuna tatizo la kukatika umeme Mara kwa Mara that Mara kumi wanakata tu tatizo nin? Pia ikifika uck saa moja wanakata umeme maeneo ya Mtwara vijijin kuanzia vijiji vya msijute mbuo dihima ,kisiwan ,ndumbwe maeneo tajwa kumekuwa na kasumba ya kukata umem uck na kuurudisha saa nane ucku na sasa ni mwaka pili,hawatoi taarifa ukichukulia eneo hili ndipo kiwanda Cha Dangote ,shule na zahanati ila hawajali wananchi Wala usalama wait.Naomba wahusika hasa mbunge Hawa ghasia na wahusika wa mkoa huu wafuatilie . Bado tupo gizan
 
Tanesco mnajitahidi kutimiza majukumu yenu ila bado kuna kero nyingi na emergence huwa haifiki kwa wakati muafaka.rekebisheni hilo
 
Naomba kupata ufafanuzi kutoka Tanesco Mtwara,Kuna tatizo la kukatika umeme Mara kwa Mara that Mara kumi wanakata tu tatizo nin? Pia ikifika uck saa moja wanakata umeme maeneo ya Mtwara vijijin kuanzia vijiji vya msijute mbuo dihima ,kisiwan ,ndumbwe maeneo tajwa kumekuwa na kasumba ya kukata umem uck na kuurudisha saa nane ucku na sasa ni mwaka pili,hawatoi taarifa ukichukulia eneo hili ndipo kiwanda Cha Dangote ,shule na zahanati ila hawajali wananchi Wala usalama wait.Naomba wahusika hasa mbunge Hawa ghasia na wahusika wa mkoa huu wafuatilie . Bado tupo gizan
Mtwara sehemu gani na namba yako ya simu tafadhali mpendwa mteja wetu
 
Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika
Eneo gani

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Namba ya mita tafadhali
 
Tuna malalamiko kwa hawa customer cares hapa kimara wamejaa Dharau na kujisikia, ukiwapigia simu wanakujibu kwa dharau, hawapokei simu za wateja! kifupi wanakera, watoeni mtuletee wengine tafadhari
Ulipiga simu tarehe ngapi na muda gani? Tatizo lilikuwa ni nini na ulipata majibu gani? Tunaomba namba yako ya simu tukusikilize
 
Hivi nyinyi mnaojiita Tanesco mnayaangaza maisha ya nani?
Maana toka jumamosi tumepata tatizo nyumbani umeme haufiki kwenye nyumba toka kule juu ya nguzo mlikoweka mita yenu.
Cha ajabu tumepiga namba ya dharula zaidi ya mara 20 tunapewa chai tu na toka hiyo jmosi mpaka sasa hakuna organism aliyeng'aa.
Hii ni Mbeya mjini hapa.
Sasa hiyo namba mnaita ya dharula ya nini.
Hivi mnaelewa maana ya emergency nyinyi viumbe.
Acheni kufanya kazi kwa mazoea sisi tunalipa wala hatutumii bure hiyo huduma mnakera sana.
Badilikeni au mnasubiri rais aje watu wawachome.
Huo utoto yani nina hasira sana kila kitu kwenye friji kimeoza.
Wilaya

Eneo

Namba ya simu

Tatizo tafadhali
 
TANESCO, mimi ninaishi manispaa ya tabora mtaa wa Kigamboni, mtaa huu hatuna line ya umeme licha ya eneo kupimwa na miundo mbinu nyingine kama maji kupita, tumekua tunaenda mara kwa mara ofisini TANESCO na kila mtu anatoa majibu yake, mara hakuna nguzo, mara tusubili mradi tupo gizani.
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali
 
Kuna malalamiko tumeyatoa ofisi ya Tanesco Kahama, Lakini yapata mwezi mmoja sasa hatujui kama swala linashughulikiwa ama vipi,
Naomba kujua utaratibu wenu je mkipokea malalamiko mnayatolea ufafanuzi bahada ya muda gani? au tuendelee tu kusubili hata kama jambo linaweza kuleta madhara kwa kuchelewa kulitolea maamuzi?
A
Upo eneo gani, namba ya simu na tatizo tafadhali
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunakujulisha kwa Mkandarasi bado yupo saiti muda huu anaendelea na kazi na Transformer 5 zinatarajiwa kufungwa eneo hilo la shabaha..

Tunaomba wananchi watupe muda Wa kukamilisha kazi
#TANESCO tangia utoe haya majibu Jun 29/2019 ni miezi miwili sasa imepita huyo mkandarasi unaesema tumpe muda tumpe muda wa miaka mingapi labda? Katandaza waya baadhi ya maeneo akaondoka. Tafadhali #TANESCO wafuatilieni hawa wakandarasi wanatuchelewesha watanzania kufanya maendeleo kisa umeme.
 
Tanesco utaratibu wenu wa kumtoa mtu kwenye matumizi madogo na kwenda makubwa au kutoka makubwa kwenda madogo ukoje? Kwanini utaratibu usiwe mmoja? Nikiwa na maana muwe mnampandisha au kumshusha mtu kulingana na matumizi yake.
 
Mteja akikidhi vigezo anafika ofisi ya eneo lake kujaza fomu kwa hatua zaidi.
 
#TANESCO tangia utoe haya majibu Jun 29/2019 ni miezi miwili sasa imepita huyo mkandarasi unaesema tumpe muda tumpe muda wa miaka mingapi labda? Katandaza waya baadhi ya maeneo akaondoka. Tafadhali #TANESCO wafuatilieni hawa wakandarasi wanatuchelewesha watanzania kufanya maendeleo kisa umeme.
Tunepokea taarifa yako, Tafadhali tambua kuwa huu ni mradi wenye kuhitaji utaalamu hivyo zipo taratibu za kuukamilisha
 
Back
Top Bottom