J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,505
Bado suala la Mlandizi.
Rejea pale juu.
Rejea pale juu.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
Bado suala la Mlandizi tafadhali.Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
TANESCO nawasubili mnipe jibu tafadharininaomba kujua nyumba inatakiwa kukaa umbali gani kutoka line kuu???!!!
Asanteni Tanesco,nilileta ombi kwenu la kuletewa nguzo kama tulivyolipia naona limetekelezwa.kazi njema.Kigamboni
JinaKuna malalamiko tumeyatoa ofisi ya Tanesco Kahama, Lakini yapata mwezi mmoja sasa hatujui kama swala linashughulikiwa ama vipi,
Naomba kujua utaratibu wenu je mkipokea malalamiko mnayatolea ufafanuzi bahada ya muda gani? au tuendelee tu kusubili hata kama jambo linaweza kuleta madhara kwa kuchelewa kulitolea maamuzi?
A
Hakuna ila kuna hasara Vitu Vimeungua SanaAisee Ni hatarii hio
Hakuna Waliojeruhiwa?
Duuh Poleeni aiseeHakuna ila kuna hasara Vitu Vimeungua Sana
Nililisikia ile jana then umeme ukawa umekata na kurudi baada ya dk 5 hvJana Mida ya Jioni Ulitokea mlipuko mkubwa, Transfoma Ilibutuka. Jambo la kushangaza hadi sasa Tanesco hawajaja eneo la tukio hapa Kimara Matonya kanisani..