Kuna malalamiko tumeyatoa ofisi ya Tanesco Kahama, Lakini yapata mwezi mmoja sasa hatujui kama swala linashughulikiwa ama vipi,
Naomba kujua utaratibu wenu je mkipokea malalamiko mnayatolea ufafanuzi bahada ya muda gani? au tuendelee tu kusubili hata kama jambo linaweza kuleta madhara kwa kuchelewa kulitolea maamuzi?
A
 
Tanesco huu unaenda mwezi wa nne sasa toka nilipie kuunganishiwa umeme nguzo mbili ila naona kimya
 
Kuna malalamiko tumeyatoa ofisi ya Tanesco Kahama, Lakini yapata mwezi mmoja sasa hatujui kama swala linashughulikiwa ama vipi,
Naomba kujua utaratibu wenu je mkipokea malalamiko mnayatolea ufafanuzi bahada ya muda gani? au tuendelee tu kusubili hata kama jambo linaweza kuleta madhara kwa kuchelewa kulitolea maamuzi?
A
Jina

Namba ya simu

Lalamimo lako

Namba ya taarifa tafadhali
 
TANESCO, mimi ninaishi manispaa ya tabora mtaa wa Kigamboni, mtaa huu hatuna line ya umeme licha ya eneo kupimwa na miundo mbinu nyingine kama maji kupita, tumekua tunaenda mara kwa mara ofisini TANESCO na kila mtu anatoa majibu yake, mara hakuna nguzo, mara tusubili mradi tupo gizani.
 
Jana Mida ya Jioni Ulitokea mlipuko mkubwa, Transfoma Ilibutuka. Jambo la kushangaza hadi sasa Tanesco hawajaja eneo la tukio hapa Kimara Matonya kanisani..
 
Jana Mida ya Jioni Ulitokea mlipuko mkubwa, Transfoma Ilibutuka. Jambo la kushangaza hadi sasa Tanesco hawajaja eneo la tukio hapa Kimara Matonya kanisani..
Nililisikia ile jana then umeme ukawa umekata na kurudi baada ya dk 5 hv
 
hicho kichwa cha habari hapo juu umeandika kama vile button zimejam!!

by the way ujumbe umefika lakini!
 
Nawashauri muanze kuwalipa Symbion kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Hivi nyinyi mnaojiita Tanesco mnayaangaza maisha ya nani?
Maana toka jumamosi tumepata tatizo nyumbani umeme haufiki kwenye nyumba toka kule juu ya nguzo mlikoweka mita yenu.
Cha ajabu tumepiga namba ya dharula zaidi ya mara 20 tunapewa chai tu na toka hiyo jmosi mpaka sasa hakuna organism aliyeng'aa.
Hii ni Mbeya mjini hapa.
Sasa hiyo namba mnaita ya dharula ya nini.
Hivi mnaelewa maana ya emergency nyinyi viumbe.
Acheni kufanya kazi kwa mazoea sisi tunalipa wala hatutumii bure hiyo huduma mnakera sana.
Badilikeni au mnasubiri rais aje watu wawachome.
Huo utoto yani nina hasira sana kila kitu kwenye friji kimeoza.
 
Back
Top Bottom