TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,521
Hata hivyo mara baada ya kuwapigia wateja hawa mmoja amekiri kutokuwa na malalamiko kwa kuwa alipatiwa taarifa kamili na ofisi yetu.Mteja wa kwanza amelipia tarehe 31 Mei 2019 na wapili amelipia mwezi uliopita hivyo wapo kwenyo orodha ya kufungiwa umeme.Tunaomba uvumilivu wao