Nauliza hivi hii habari ya kununua nguzo za umeme ili mtu uingiziwe umeme inaenda kinyume na agizo la waziri au mi ndo sielewi?
Kwa mfano huku chamwino dodoma bado kusambaziwa umeme unahitajika malaki ya pesa kulipia nguzo vipi hapa?!

Ufanunuzi tafadhali no zangu ni 0767291786/0712438020
Taratibu za jinsi wa utekelezaji wa agizo zinaandaliwa hivyo tunaomba uvumilivu wako kwa kuwa mara baada ya kupokea agizo wataalamu wanakaa na kuandaa muongozo wa utekelezaji wake
 
Tunashukuru , naomba kuuliza hizo no zinapatikana wakati gani. Kwani hiyo no ya Voda nilishawahi kupiga zaidi ya mara kumi bila kupokelewa na nilikua na tatizo la dharura. Nikaishia kupoteza fedha zangu za muda wa maongezi bila simu kupokelewa.
ulipotezaje mda wa maongezi wakati simu haikupokelewa
 
Taratibu za jinsi wa utekelezaji wa agizo zinaandaliwa hivyo tunaomba uvumilivu wako kwa kuwa mara baada ya kupokea agizo wataalamu wanakaa na kuandaa muongozo wa utekelezaji wake
niliuliza swali la msingi mbona sijapata jibu???!!!
au mko bize
 
Wakazi wengi wa Kimondolosi, wilaya ya Arusha mjini mpaka sasa bado kuunganishiwa umeme ingawa wengine wanazaidi ya mwezi wameshalipia garama za kuunganishiwa lakini bado kupata huduma hiyo.Nguzo na nyaya zilishawekwa ila kuwaunganishia wananchi bado ni tatizo,na mbaya zaidi wapo wachache wanaounganishiwa kimya kimya bila uwazi.Ni vizuri kama shirika muwe wazi ni kitu gani kinachokwamisha zoezi hilo;kama tatizo ni vifaa wananchi wajue.Sio leo mwingine analipia anaunganishiwa na wale waliolipia zamani mpaka leo hawajapata huduma.
Naambatanisha link ya ahadi iliyotolewa na mheshimiwa waziri:
 
Tunashukuru kwa taarifa

Tunaomba taarifa kamili za umelipia lini? Namba ya simu na jina ulilolipia
 
Mbona Bado tunaambiwa laki 3 na usheee kuingiza umeme huku mkoa wa Ilala jijini dsm? Niliona matangazo mh waziri Mkuu kushusha hapo pakoje???? Au haihusu
Mteja hupatiwa makadirio halisi ya kiasi cha kulipia kwa barua kutoka ofisi ya eneo lake na barua hiyo inakuwa na maelezo ya jinsi gharama zinavyotozwa.Hakikisha unapata nakala yako kwa kuwa gharama haitolewi kwa mdomo
 
Mbona nawewe umejibu kwa mdomo
 
mkoa wa geita hauna material...ni miezi minane sasa tangu nmelipia....nkienda naaambiwa hakuna waya wala mita na vifaaa vingine vya maungio hakuna....
ningepata mawasiliano ya waziri mwenyewe dhamana nimfikishie kilio changu...na sio mimi pekeee ni wengi tumekumbwa na hilo janga...muheshimiwa waziri aingilie kati swala hili ni aibu kwa serikali
 
Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali
 
Tanesco Kuna haja gani kuweka umeme kwa mteja wakati hamjasajili mfumo wa kulipia yaani luku,yaani wanakuwekea unit 10 Zikiisha hizo ni mwendo wa giza tena , na kufuatilia kwake uache kazi ufanye kazi, HASA TANESCO KISARAWE
 
Tunaomba namba ya mita na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom