Hivi inatakiwa ichukue mda gani baada ya kujaza fomu ya maombi ya kuunganishiwa umeme ndio aje mkandarasi kwa ajili ya makadirio ya kulipia!
Umetudisha fomu tarahe ngapi? Wilaya na namba yako ya simu
 
Nawashukuru Tanesco, tatizo limeishatatuliwa. Ahsanteni kwa Ushirikiano wenu. Kikubwa Waambie huku Mikoani siyo lazima Wasublmbuliwe sumbuliwe ndiyo Watekeleze Majukumu yao.
Pamoja tuihudumie Jamii na si kila kitu Mpaka tuzunungushane.
 
Tanecso tunaomba mtueleweshe juu ya kauli ya Mh Dr Medard Kalemani, mara kadhaa mhe Waziri Kalemani amesikika akiwaagiza Tanesco na kuwahutubia wananchi kuwa Mtanzania hapaswi na asiambiwe habari za kulipia nguzo bali alipie huduma tu, je hii ya kutolipia nguzo ni kwa ajii ya miradi ya REA tu au mtu yeyote anayehitaji umeme hapaswi kuambiawa habari za kulipia nguzo hata kama anahitaji ule umeme wa TANESCO tuliouzoe ambao miradi ya REA haifiki ? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Yaaaani nyie TANESCO mnataka watumishi waanikie nguo hapo kwenye waya wenu ety issue ina mwaka Tangu iwekwe
 
Attachments

  • IMG_20190801_164117_5.jpg
    IMG_20190801_164117_5.jpg
    79.3 KB · Views: 13
  • IMG_20190801_164102_5.jpg
    IMG_20190801_164102_5.jpg
    53.3 KB · Views: 15
Mimi nina malakamiko kuhusiana na hii REA. Mimi ni mkazi wa kiluvya karibu na waziri mkuu SUMAI, Umeme huu umetupita na kwenda maeneo mengine na kutuacha bila majibu sahihi. Zipo kaya nyingi mno na tulio wengi wetu tumefunga wiring. Tumefuatilia tangu 2015 mpaka leo tumesha kata tamaa. 0717363745 kama mtahitaji ushirikiano kwa uhakika zaidi mtumeni hata survey atawarejeshea majibu sahihi, tuna uhitaji wa Umeme kaya zinafika 60
 
Tumepokea kwa hatua zaidi
 
Tanecso tunaomba mtueleweshe juu ya kauli ya Mh Dr Medard Kalemani, mara kadhaa mhe Waziri Kalemani amesikika akiwaagiza Tanesco na kuwahutubia wananchi kuwa Mtanzania hapaswi na asiambiwe habari za kulipia nguzo bali alipie huduma tu, je hii ya kutolipia nguzo ni kwa ajii ya miradi ya REA tu au mtu yeyote anayehitaji umeme hapaswi kuambiawa habari za kulipia nguzo hata kama anahitaji ule umeme wa TANESCO tuliouzoe ambao miradi ya REA haifiki ? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Nilidhani niko peke yangu kumbe ni wengi wenye tatizo hili

Tamko linapotolewa linafatiwa na muongozo wa utekelezaji wake hivyo ukikamilika utapatiwa ufafanuzi
 
Mkuu naomba msaada wako. Mtaani kwetu tupo watu zaid ya 60 ambao tuna uhitaji na umeme. Tuliandika barau ya maombi ya nguzo tanesco mbeya toka mwez wa 10 2017, tuluahidiwa kua kutakua na mladi mkubwa kwa ajili yetu. Kweli walipitisha nguzo kubwa. Lakin kutoka wakamilishe kuweka nguzo kubwa mwezi wa 12 2017. Tumekua tukiambiwa tusubili transformer na nguzo ndogo za mtaani. Baada ya kufatilia kwa mda mlefu tuliahidiaa na meneja aliye hamishwa na mweshimiwa rais alipo kua zialani mbeya kua punde watakapo maliza ziala ya rais tunge letewa nguzo na transformer lakin mpaka leo hii hakuna falili zozote za kuwasha mlafi huo.

Nipo mbeya Mjini, ituha mtaa wa ilomba secondary. Namba yangu ni 0783933922.. Asante
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
TANESCO!

KABLA SIJATAPIKA MENGI, AND AM TELLING YOU, AM PREPARED KWENDA HADI WIZARANI KUPATA UFAFANUZI IKIWA HAPA MTASHINDWA KUNIPA UFAFANUZI WENYE MANTIKI, NAOMBA MNIJULISHE YAFUATAYO:-

1. NIPENI SABABU MOJA TU YA MSINGI YA KWANINI SUALA LA KUBADILI MITA TU, LINATAKIWA KUCHUKUA WIKI 2 HADI 3!

I REPEAT, KABLA SIJATAPIKA MENGI HAPA NA KUANZA KUTAJA MAJINA, NIPENI SABABU YA MSINGI KWA SABABU I KNOW A CUSTOMER CAN "DO SOMETHING" IKIWA HIZO WIKI 2 HADI 3 ANAONA NYINGI.

AND AM TELLING YOU, I'M VERY ANGRY KWA SABABU TANGU JUMANNE TUNALALA GIZANI AND I DOUBT IF YOU HAVE ANY IDEA WHAT I HAVE LOST FOR ALL THESE DAYS. NA KWAVILE AM VERY ANGRY, SITAKI MAJIBU YA UBABAISHAJI OR ELSE NITAANIKA KILA KITU HAPA, NA SITAISHIA HAPA. MAJIBU YA UBABAISHAJI NI PAMOJA NA ANY ATTEMPT TP TO TELL ME YOU'RE SORRY. I HATE BEING PATRONIZED IN ANY WAY, SO SAVE YOUR SORRY FOR FOR OTHERS BUT NOT ME.

NARUDIA, NIPENI SABABU YA MSINGI KWANINI KUBADILISHA MITA TU ICHUKUE WIKI 2-3!! INA MAANA HUWA MNAPELEKA ORDER KWA SUPPLIER WENU HADI MSIKIE NYUMBA FULANI MITA YAO IMEKUFA, OR WHAT'S SO SPECIAL HADI SUALA DOGO KAMA HILO LIHITAJI MUDA WOTE HUO?!

I REPEAT, SITAKI BLAH BLAH. SITAKI KUWASIKIA MKISEMA YOU'RE VERY SORRY FOR SO AND SO, STOP THAT SHIT AND G0 STRAIGHT TO MY QUESTION
 
Pole sana mpendwa mteja wetu tunaomba taarifa kamili za wilaya, eneo, namba ya mita, namba ya simu na namba ya taarifa kama ulitoa taarifa ofisi yetu tufanyie kazi swala lako

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
 
Back
Top Bottom