tanesco kisarawe ni shida,wanafanya kazi kana kwamba wako majumbani mwao,hawajali kabisa,namba ya huduma kwa wateja ya 0627958997 hawapokei kabisa,simu inaita wao wanachati na smartphone,ikiita sana wanaminya kitufe cha bize,ningekuwa na uwezo,ningewahamishia mikoa ya kusini,alafu waje wapya...
Eneo gani? Tatizo na namba yako ya simu tafadhali
 
Nmelipiia kuunganishiwa umeme mbeya mjini toka mwez WA 2 mwaka huu na inahitajka nguzo moja(taping pole),why. Sijaungiwa mpaka leo?halafu tanesco inaunga wateja wangap kwa mwaka?ndan ya jiji)

Mteja wenu John M Mwadanda
Namba yako ya simu tafadhali
 
kwa nn watu masikini wote tunaokaa vijijini na hatuna matumizi makubwa ya fridge, cooker, wala heater tumetolewa kwenye tariff 0 na kupandishwa tariff 1?
 
Naomba kujua maeneo yanayoijumuishwa au yanayoingia katika TANESCO KINONDONI SOUTH.
 
Naomba kujua taratibu ya kufikiwa na huduma za mradi wa REA katika eneo/kijiji/kitongoji husika
Miradi ya REA inaenda kwa awamu hivyo ikifika awamu ya eneo lako utapata.Tunaomba utujulisha Kijiji gani, eneo na wilaya kwa hatua zaidi
 
Naomba kujuwa bei ya kuingiziwa umeme wa rea three face Ni tshs. ngapi?
Gharama za kufungiwa umeme zimebainishwa hapo chini
IMG-20190713-WA0022.jpeg
 
Huku Chanika mtaa wa Zogo Ali mlileta nguzo kipindi cha uchaguzi wa marudio (baada mwita kuhama chama) baada ya uchaguzi na Mh Mwita kushinda mkaja mkabeba nguzo zenu,
Mlitujazisha fomu, kimia mpaka leo
Naomba kuwauliza
Mtaa wa zogoali tupo kwenye Rea namba ngapi maana hapa ni mjini kabisa
. Inaonekan mlileta nguzo kisiasa tu ili mgombea apate kura maana hata diwani naye kura alipata na bado tupo naye kigazani
Nilini mtaleta umeme kama hamna bajeti je mpo tayari kwa wale wananchi wenye uwezo kuwasambazia umeme kwa bei nafuu???
 
Tunaomba namba yako.ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi
 
Poole na kazi kwenu,uliniomba namba yangu nilikupatia,
Nipo mbeya mjini,nililipia ili kuunganishiwa umeme tarehe 5 march 2019,but mpaka leo sijawekewa!je tatizo ni nin?!au folen ni ndefu?
Jina;; John M Mwadanda!
Tutakupatia mrejesho wa swala hili mpendwa mteja wetu
 
Back
Top Bottom