TANESCO kuna shida gani katika mradi wa REA Moshi vijijini eneo la SHABAHA wamesimika nguzo na kutandaza waya baadhi ya maeneo ila ni zaidi ya mwez sasa hakuna kinachoendelea. Nini kinakwamisha kuunganishia watu umeme tuendeshe viwanda vyetu?
Tunaomba namba yako ya simu kuifatilia na kuifanyia kazi mpendwa mteja wetu
 
TANESCO kuna shida gani katika mradi wa REA Moshi vijijini eneo la SHABAHA wamesimika nguzo na kutandaza waya baadhi ya maeneo ila ni zaidi ya mwez sasa hakuna kinachoendelea. Nini kinakwamisha kuunganishia watu umeme tuendeshe viwanda vyetu?
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunakujulisha kwa Mkandarasi bado yupo saiti muda huu anaendelea na kazi na Transformer 5 zinatarajiwa kufungwa eneo hilo la shabaha..

Tunaomba wananchi watupe muda Wa kukamilisha kazi
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawakaribisha wananchi wote kutembelea banda letu lililopo katika viwanja vya Sabasaba:

Utapata Elimu kuhusiana na Huduma zetu pamoja na matumizi bora ya umeme.

Utapata huduma ya kununua umeme.
Utajifunza hatua za kufua umeme hadi kumfikia mteja.

Kufahamu miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali kupitia TANESCO.

*Karibuni*

IMG-20190629-WA0051.jpeg
IMG-20190629-WA0050.jpeg
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunakujulisha kwa Mkandarasi bado yupo saiti muda huu anaendelea na kazi na Transformer 5 zinatarajiwa kufungwa eneo hilo la shabaha..

Tunaomba wananchi watupe muda Wa kukamilisha kazi
Asante kwa majibu TANESCO
 
Watu wa tanesco naomba mnijibu,taratibu za kubadilisha tariff zikoje,
Hili swali, naona wanalikwepa! Sidhani kama hawajaliona huko juu.
Nami narudia,……… Hivi TANESCO, mmefuta yale malipo nafuu kwa watumiaji ambao hawazidi unit 75 kwa mwezi?
Kama ni hivyo, mbona kimya kimya?
 
Mteja aliyekidhi vigezo anajaza fomu atakaguliwa kujiridhisha kama kweli amekidhi vigezo kwa ombi la kuwa kubdo fulani la matumizi
 
Mbona sisi huku shinyanga tumeondolewa? Nilikuwa nikipata unit 75 natumia ht miezi mitatu mpk minne lkn nimeondolewa huko nimerudishwa kwenye malipo ya kawaida.
 
Swala hili linakuwa la mteja mmoja mmoja na mteja anawekwa kwenye kundi la matumizi linaloendana na matumizi yake hivyo upo matumizi ya kawaida ya nyumbani
 
Mbona sisi huku shinyanga tumeondolewa? Nilikuwa nikipata unit 75 natumia ht miezi mitatu mpk minne lkn nimeondolewa huko nimerudishwa kwenye malipo ya kawaida.
Na mimi nipo Shinyanga. Matumizi yangu, nilikuwa nanunua unit 50,zinaisha baada ya kati ya siku 40 mpaka 50.
Na, kuniweka kundi hilo, ni baada ya kuandika barua ya maombi. Sasa, tunaambiwa tuandike barua tena, ina maana kila baada ya muda fulani tutakuwa tunaandika barua? Mbona kila mita mnazo rekodi zao?
 
Ajabu sana yaani, hlf walisitisha huduma bila ht taarifa. Unashngaa mtu unanunua umeme haupati token.
 
Na mimi nipo Shinyanga. Matumizi yangu, nilikuwa nanunua unit 50,zinaisha baada ya kati ya siku 40 mpaka 50.
Na, kuniweka kundi hilo, ni baada ya kuandika barua ya maombi. Sasa, tunaambiwa tuandike barua tena, ina maana kila baada ya muda fulani tutakuwa tunaandika barua? Mbona kila mita mnazo rekodi zao?
Tafadhali fika ofisini kwa uhakiki na taarifa zaidi
 
NAOMBA MSAADA WA HARAKA
mimi ni Mteja wenu kwenye kundi la Kati,najishughulisha na kiwanda cha kukamua Mafuta ya Alzeti, Leo natuma sms hii kwenu nikiwa sina namna zaidi ya OFFICE YAKO kunisaidia kuingilia Kati ili kuninusulu mimi na Wateja wangu ambao tayari nimepokea pesa ili niwahudumie kwa kuwapa Mafuta, istoshe na Bank pia nina mkopo ambao Biashara hii Ndiyo inanifanya niweze kulipa,tumeitikia wito wa Rais wetu kuhusu viwanda lakini tunakwama kwa Watendaji Wachache ambao hawataki kufanya Majukumu yao kama iwapasavyo, Mita yangu No 43146814165 yenye jina la HASSAN HEZRON KIBONA WILAYA YA KONGWA KATA KIBAIGWA Imeungua toka 21/06/2019 mpaka naandika sms hii kwako sijapata msaada,ijapokuwa nimefuatilia sana bila mafanikio..... Naogopa kusema mengine....Kikubwa hapo naomba msaada......
0688-538804
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
Haya, nitakuuliza the same question Jumatatu ijayo!
Mbali sana maana itakuwa tayari Week 3 ni Hatari sana kwa Ustawi wa Biashara pia Mapato ya Nchi.... Naomba Jitahidi kwa uwezo ulionao leo nipate umeme maana tayari mpaka Leo ni Week Mbili....
 
Back
Top Bottom