Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 872
Sasa Kama mnaenda kukagua nyumbani kwake ndio Mwezi mzima? Ina maana mmeelemewa na mizigo? Tangazeni kazi watu waombe wawasaidie. Kazi ya kukagua nyumbani inahitaji tena kukidhi vigezo? Mko serious kabisa kusema kumkagua mteja ichukue Mwezi mzima hujaenda? Lazima Kuna shida mahala.Ndugu mpendwa mteja wetu sio kila anayeomba kubadilishiwa matumizi anabadilishiwa hapo hapo.kwanxa lazima akidhi vigezo pili tunaenda kumkagua nyumbani kwake.