tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,017
- 1,940
Tanesco jamani mimi nimenyoosha mikono kupata umeme kwenu imekuwa ngumu sana siku nikipata nauli itabidi niwafuate huko Darisalama
Hakuna mgao mpendwa mteja wetu bali ni hitilafu zinazotokea na hatua stahiki huchukuliwa
Kuna awamu mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya REA hivyo wateja wanaokusa kwenye awamu moja tunawaomba wasubiri awamu ya piliHabarini za kazi, katika kijiji cha Munjebwe, Rulenge Ngara, nguzo za umeme HT zimepita upande wa pili wa barabara approx. 150 m, na upande wa pili ambapo Kuna nyumba za wahitaji wa umeme hakuna nguzo za usambazaji na tunaambiwa REA wameshamaliza kazi katika eneo Hilo hivyo tuwafuate Tanesco na nyinyi bei ya kuweka nguzo ni kubwa kuliko uwezo wa wananchi, je, mnawasaidiaje wananchi hao?

Jaribu kununua umeme mwingine hata wa buku weka!Msaada ,Mimi ni mteja mwenye namba 24211502166 naingiza umeme siku nzima mashine ina load na kujibu Error 00 msaadatlk
*SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUKATIKA KWA UMEME*TANESCO mjitathimini uendeshaji wenu wa shirika kwani ni miaka na miaka sasa imepita tatizo la kukatika umeme imekuwa kero utadhani ndo SERA YA TAIFA.
Ifike wakati tuache mazoea,umeme ndo kila kitu katika ukuaji wa uchumi wa nchi nyingi dunia kwan big investment zinategemea sana umeme lakini pia hata watu wa kawaida wanategemea umeme kuingiza kipato na kipato kinavyoingia kwa mtu mmoja mmoja ndio uchumi unakuwa lakini pia stability ya umeme inavutia wawekezaji.
Naomba niwakumbushe Rais wetu alisema hii ni Tz ya viwanda je na nyinyi mnalijua hili?? Ukizungumzia kiwanda unazungumzia na umeme.
Kwa kuhitimisha tuache mazoea kazini,tuwe wabunifu and tutumie elimu zetu kwa ndugu zetu wa Tz kwa mustakabali wa taifa hili linaloendelea.
Ndugu mpendwa mteja wetu sio kila anayeomba kubadilishiwa matumizi anabadilishiwa hapo hapo.kwanxa lazima akidhi vigezo pili tunaenda kumkagua nyumbani kwake.Hivi Tanesco mnafanyaje kazi Maofisini humu ndani ya utawala huu wa awamu ya tano?
Je mnatofautiana job description zenu Kati ya mkoa na mkoa? Nimefuatilia sana Suala la kupunguziwa matumizi kutoka makubwa kuja madogo, licha ya mizunguko mingi bado nilivumilia. Lakini mwisho mlichokitaka nikatimiza.
Suala la kubadilishwa kuja matumizi madogo inachukua Mwezi mzima? Sijapata kuona kutoka kwenu. Ofisi ya tanesco Kigamboni tangu inijazishe fomu ya kupunguza matumizi na kuahidiwa Kuwa Watakuja kukagua Vyombo vya umeme nilivyo navyo Leo ni Mwezi mzima umetimia, na wala hawajaonekana. Je huu utaratibu wa Mwezi mzima unatumika Dar tu? Inakuwaje mnatofautiana na mikoa mingine?
Inakujibuje?@ TANESCO utaratibu wa kuifungua meter mpya ukoje?
Maana nimefanyiwa installation na meter mpya, imewekewa Unit 10, nataka niongeze kwa kununua unit kwenye simu, inanikatalia.View attachment 1095714