Sijui walisoma hii post maana walikuja juzi tarehe 29 wameshusha nguzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kumbe na wewe imekukuta mkuu?Ubungo near Mabibo Hostel huku hakuna umeme tangu saa 10 alfajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimpa nani hiyo rushwa? Kwanini hakutoa taarifa? Tusijenge mazingira ya muzusha mambo badala yake tusaidie kuwabainish mnaona wanaomba rushwa sio kuchafua shirika zima tena kwa taarifa zakusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wakati mwingine wanafika eneo la tukio wanaliona tatizo ila wanasema kwamba hii nyumba hatuwezi kuirekebishia umeme kwa sababu mama mwenye nyumba huwa anasumbua sasa sijui huwa anasumbuaje...!!!Tanesco kwanini mmeweka madawati ya dharura simu zinapigwa hazipokelewi zikipokelewa watu wa dharura hawafiki eneo la tukio watz tunateseka sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni eneo gani na namba yako ya simu tafadhali tukuunge whatsApp ya Songea upate taarifa kamiliTangu nimeanza ishi wilaya ya Namtumbo iliyopo Ruvuma sijawahi sikia tangazo la kukata umeme. Ila cha ajabu wao mda wote wanakata. Mf; mda huu umeme haupo na kuanzia saa moja na nusu hadi saa mbili dak 15 wamekata mara saba(7). Kuna jirani yangu hapa kuunguza flati yake mpya tu na analalama sana. Nashindwa kuelewa umeme ndani ya dakika 1 wanakata mara 3 sasa marekebisho gani hayo? Any way labda mnatumia supersonic speed kutengeneza. Na vinguzo vya kutoa umeme toka Songea,vyembambaaa juu likitanda wingu tu vinaanguka. Mnashindana na king'amuzi cha azamu upepo tu wao wamekata na nyie mnakata,sujajua ofisi moja au laa. Matengenezo kila siku mnakela. Na ratiba ya kila juma mosi umeme hakuna mnamaanisha nn? Juma mosi umeme lazima mkate na jpili hadi ijumaa anytime mnakata kwa siku mara tatu hadi 5. Jamani mnakera sana.
Rwinga na namba yangu ni 0678538396.Ni eneo gani na namba yako ya simu tafadhali tukuunge whatsApp ya Songea upate taarifa kamili
Sent using Jamii Forums mobile app