cris emanuel
Member
- Oct 23, 2018
- 16
- 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba ya simuMimi nina tatizo nimefungiwa umeme wa rea ijumaa iliyopita nimkapewa unit 9 saiv zimeisha nimewaomba tanesco mkoa niliopo wanisajilie mita ili niweze kununua umeme wananisumbua tu kila muda wanasema wanafatilia cjui nifanye nini ili niweze kutumia huduma ya kununua luku niondokane na giza
Tunaomba namba yako.ya simu tafadhaliNilichomeka kwenye umeme remote ili kuingiza unit ikapiga shoti.
Ikotoa moshi.
Baadae ikawa haipokei umeme kabisa na wala betri haikubali.
Nikaenda kuripoti physically ofisi za Kigamboni wakanambia hakunaga spea ikifa ndo ishatoka..
Wakanielekeza namna ya kutumia remote ya jirani ndo nnayotumia ila inachosha.
Na ni kero.
Naomba ufafanuzi kutoka kwenu kupitia jukwaa hili ili na wengine wajifunze.
Majibu yatanipa muongozo wa kuuliza swali au ombi la pili.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea maelezo yako tunayapitia na kukupatia maelezoMimi mkazi wa eneo la Ludete, karibu na shule ya msingi Ludete. Na. ya simu ni 0673364534. Karibu na shule juu kama mita 40 kuna jengo la kanisa jipya. Juu ya kanisa hilo nyumba ya 3 ndiyo nyumbani. Nipo mkoa wa Geita, wilaya ya Geita, Tarafa ya Katoro, Kata ya Ludete, kitongoji cha Stamico. Mita na. 24219820909. Baada ya utangulizi huo shida ni kama ifuatavyo : tarehe 27/01/2019 eneo la Ludete kwangu na kwa baadhi ya majirani baada umeme kurudi jioni tulijikuta tupo gizani waliotuzunguka wengine wanao umeme. Asubuhi ya 28/01/2019 tulianza kuhangaika kwani eneo lilikuwa kubwa hadi Katoro madukani. Nilipoona kwenye simu namba imehifadhiwa TANESCO dharura nikapiga kumbe Urambo Tabora. Nikaambiwa tatizo hutokea wakati unaweka salio. Nikapewa maelekezo ya kufuata bado shida haikwisha. Baada ya kugundua nawasiliana na Urambo nilitafuta na. ya Geita nikawasiliana nao wakanipa maelekezo tena kama imejitokeza hivyo ninunue umeme nikafanya hivyo ila kabla ya kuuweka hali ilirudi kawaida. Kwa kuwa nilikuwa kwenye punguzo nikautunza hadi tarehe 5/2/2019 kuuweka zikaja unit kidogo. Leo 11/02/2019 nikapiga Geita kuhusiana na jinsi ilivyotokea nikajibiwa kuwa tatizo litakuwa kununua umeme mara 2 katika mwezi mmoja system itakuwa imeniondoa. Nikaambiwa hakuna uwezekano wa kurejesha katika punguzo. Ninachoomba kuuliza au kama nilivyoeleza hapo juu nilitekeleza maelekezo ya ofisi kununua umeme na japo sikuutumia hadi tarehe niliyozoea kuweka naambiwa nimekosea na hakuna uwezekano. Nawasilisha nikiomba ufumbuzi wa tatizo la kurejeshwa kwenye punguzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara baada ya kupitia manunuzi yako tumejiridhisha kuwa wastani wa matumizi yako ni unit 82 kwa mwezi hivyo upo kindi sahihi la matumizi ya nyumbani
Ujumbe nimeupata sasa kurudi kwenye kundi hilo la punguzo inakuwajeMara baada ya kupitia manunuzi yako tumejiridhisha kuwa wastani wa matumizi yako ni unit 82 kwa mwezi hivyo upo kindi sahihi la matumizi ya nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeunga unga nika pata pesa ya wayaring huduma ya nguzo ilikuwa mbali ilihitajika nguzo2 ili Umeme ufike kwangu nika vuta subila baada miaka kadhaa kupita jirani akapata huduma hivyo ikawa jirani na kwangu kuipata huduma hiyo
Mpaka kibamba tuko gizani,umekatika saa 2 kasorobo mpaka saa sas 5 kasoro tuko gizaniMuda wa saa 01 na nusu usiku
Maeneo ya Kimara umene umekatika
Je Tanesco mna taarifa ?
Sent using Jamii Forums mobile app