Kwa kawaida Mita mpya huwa unapewa units 50 ambazo utakujakatwa tsh 18,000 pindi utapoanza nunua umeme
Kwa hivyo tia akilini kuwa ulipewa unit 50 na sio 10
 
Mkuu hiyo inakuwa hivi unapewa unit 10 lakini wanakukata pesa ya unit 50 kitakachofanyika baada ya muda watakutumia unit 40 zilizobakia.

Kwahyo wewe endelea kutumia hizo ulizolipia hata zikiisha endelea kununua wakiwa tayari utatumiwa zilizobaki.
 
Nmekuambia nmepewa unit 10 sio 50 hizo 50 unazosema ww ni kwa zamani kwa sasa wanatoa 10 sasa labda kama wanakuongeza baada ya kununua ndio maana niko hapa kutaka kujua zaidi
 
Ook angalua sasa wewe naweza kukuelewa sasa mkuu watanipa mda wanaojiskia siwezi kuwafata wakawahi kunipa hizo 40 zilizobaki au hawachelewi sana.
 
Albinoomweusi unaona jamaa alivojibu hapa juu kidogo sio ww unakirupuka tu vitu hata hujui umekalili ya zamani mkuuu
 
Ook angalua sasa wewe naweza kukuelewa sasa mkuu watanipa mda wanaojiskia siwezi kuwafata wakawahi kunipa hizo 40 zilizobaki au hawachelewi sana.
Sifahamu itakuwa ndani ya muda, Mimi mwezi wa tano mwaka huu baada ya kuvutia umeme walinipa mita yenye unit 10 kama yako lakini walinitoza fedha ya unit 50. Nikaambiwa wakiwa tayari watanitumia unit 40 zilizobaki

Hivyo niliendelea kununua umeme kama kawaida baada ya wiki mbili walinitumia token ya unit 40 kwa njia ya text.
 
Sa wa mkuu asante kwa kunitoa sawowasi aisee maana hapa kichwa kilikuwa kimeanza kuwaka moto
 
Mkuu wala hujaibiwa. Kihalisia unapofungiwa meter mpya inakuwa na pre loaded units 50 (mkopo) ambazo utakaponunua umeme mara ya kwanza utakatwa kuzilipa (mkopo).

Inawezekana meter uliyofungiwa haikuwa pre loaded na units 50 bali ni 10 hivyo kama umenunua umeme ukakatwa hiyo tshs elfu kumi na saba na kitu ina maana umekatwa units 50.

Hivyo kama umefanikiwa kununua fika na receipt yako hiyo kwenye office ya tanesco kisha claim units zako 40 kuna fomu utajaza na utapewa utaratibu jinsi ya kuzipata.
 
Duh
Tanesco wanalalamikiwa sana

Wanahitaji watu kuchunguza mambo yanayotendwa na wafanyakazi kujipatia pesa kwa kutenda uovu.

Lazima system yao itakuwa na mapungufu na ndio wanapenya kuzitumia kupata chao kwa kuibia wateja.

Utendaji wa wengine.. inabodi wajiongeze.. waanze kuja kutuomba ushauri humu JF wafundishwe jinsi ya kuzuia hayo.. kuna njia nyingi kwa kutegemea na jambo au majambo.
 
Asante sana kiongozi kiukweli nashukur kwa ifafanuzi wenu maana mpaka nakuja kuomba ufafanuzi humu nilikuwa sielewi chochote zaidi ya mapicha picha tu
 
Umeme wa rea unambwembwe...hebu washa taa zote ulale
Sawa mkuu dar kuna umeme wa rea kumbe basi itakuwa raha sana wakati sie ndo tunakatwa na mavat yasiyona kichw na miguu ili nyie huko mbwinde na nanjirinji mpate mteremko kama sio kitonga ama ganda la ndizi mtereze
 
Lipa tu si uliipenda mwenyewe
Hivi we umesoma mada kabla ya kuandika huu upuuzi wako???? Nani. Aliezingumzia kulipa hapa kwani rist za mauzo ya tanesco huioni hapo kwwny picha inajielewa ...mimi cjakataa kulipa nachodai ni haki yangu nalipaje zaid hata ambacho sjatumia.
 
Umetumia acha utapeli dogo
Hivi we umesoma mada kabla ya kuandika huu upuuzi wako???? Nani. Aliezingumzia kulipa hapa kwani rist za mauzo ya tanesco huioni hapo kwwny picha inajielewa ...mimi cjakataa kulipa nachodai ni haki yangu nalipaje zaid hata ambacho sjatumia.
 
Duh
Tanesco wanalalamikiwa sana

Wanahitaji watu kuchunguza mambo yanayotendwa na wafanyakazi kujipatia pesa kwa kutenda uovu.

Lazima system yao itakuwa na mapungufu na ndio wanapenya kuzitumia kupata chao kwa kuibia wateja.

Utendaji wa wengine.. inabodi wajiongeze.. waanze kuja kutuomba ushauri humu JF wafundishwe jinsi ya kuzuia hayo.. kuna njia nyingi kwa kutegemea na jambo au majambo.
Wala hujakosea sana aise inaonekana mfumo wao niwa kizamani sana waje tu tutwasaodia kwa ajili ya faida yetu sote .
 
Nmekuambia nmepewa unit 10 sio 50 hizo 50 unazosema ww ni kwa zamani kwa sasa wanatoa 10 sasa labda kama wanakuongeza baada ya kununua ndio maana niko hapa kutaka kujua zaidi
Jamaa yngu kawekewa meter week iliyopita amepewa unt 10 akaambiwa sense ofisin kbla hazijaisha na pesa ili akalipie na asajiliwe na akifanya hvyo ataongezewa 40 zioizobk na kununua zingine
 
Back
Top Bottom