Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,842
- 20,687
TANESCO fungukeni wapeni wananchi maelezo,kwa nini mnanyamaza kimya?Wakuu huu mgao wa umeme wa siri siri japo unaonekana kwa macho.. Nasema wa siri kwasababu huana maelezo ili watu tujipange kwa kununua ma generator.. Kwa mfano huku mbeya umeme ni kawaida kukatika sa mbili hasubuhi na kurudi sa tano usiku.. Ikumbukwe umeme kwa hii miaka ni muhimu sana kwa shughuli za viwanda vyetu vidogo vidogo kama saloon, welding n.k
Swali nnalo jiuliza ni nani wa kutumbuliwa kwa huu uzembe wa mgao wa umeme usio na kifani? Maana kama kutumbua kwenye sector ya umeme tumetumbua sanaaa hivi sahivi ni zamu ya nani!?
Na anayejua sababu ya umeme kukatika na huu mgao wa kutisha ni ipi?
nchi ya viwonder
It's for whose interest Muhaji come forward, Watanzania wanataka kujua, kuna nini? Hata Morogoro hali ndio hiyo hiyo, umeme unakatika saa mbili, unarudi saa kumi mbili.