TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,956
2,000
Pole na majukumu.
Mi ni mteja wenu, nyumba yangu iko karagwe, kayanga. Nyumba yangu iko jirani Ofisi zenu. Kama miaka mitatu iliyopita mita ya TANESCO iliyokuwa imefungwa nyumbani kwangu iliibiwa. Nilipopata taarifa nikaripoti kwenu, lakini nikaripoti na polisi na kupewa R.B.

1. Nilitaka kujua mita hiyo haijafungwa kwa mteja mwingine?
2. Ni loni mtanifungia mita nyingine? Tangu nitoe ombi hilo la kufungiwa mita nyingine naona mnanipotezea tu, mnataka nilipe sh ngapi tena?.
3. Kwa hiyo mita inaweza kuwa inatumika kwa myeja mwingine?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Atubela

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
747
1,000

Abdallah Hassan
Eneo la tukio ni mtaa wa Sima nyuma ya shule ya msingi Mzigu, kwenye nyumba za kilimo
Wilaya ni Nyamagana
Namba ya simu........
Tatizo ni waya kukatika
Tika siku ya alhamisi tarehe 24
Namba ya taarifa ni 0783722610
Mwanza
 
May 22, 2013
32
125
Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15

Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.

Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,956
2,000
Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15

Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.

Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,393

Wewe utakuwa jirani yangu Ukonga, siku ya jana ilikuwa ovyo kabisa, zima waka zima waka, ovyooooo.
Halafu wewe Mwanangu kabisa asee, nilikuwa sijakusoma jina.
Bwana Justus, Pole sana.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,384
2,000
🐒🐒🐒
imgvfdage12.png
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,889
2,000
nimeomba luku ilala mkoani ya kuongeza kwenye duka leo mwezi moja na nusu sijapata hata conrol nambar inakuwaje
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,095
2,000
TANESCO munatutesa sisi huku Mtoni Kijichi Mgeninani. Tangu jana umeme mumekata hamujarejesha kwenye line yetu.
Sijui mumetusahau au vipi?

Tukipiga simu zenu hazipatikani jamani

Tuhurumieni mweeeeee
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,095
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Wilaya Temeke
Eneo Mtoni Kijichi Mgeninani
Tatizo kukosa huduma ya umeme
Toka jana asubuhi

Na ya simu 0686526225

Hatuna namba ya taarifa hamupokei simu
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
8,038
2,000
Kwenu Tanesco Kibaha mkoa wa pwani.
Kumekua na ukatikaji wa umeme eneo la Kongowe kuanzia Kongowe mashine ya maji Hadi Kigelo kwenye barabara ya Kongowe-Soga Kila inyeshapo mvua. Hata muda huu hakuna umeme tangu Ile mvua ya Leo ilipoanza kunyesha. Nadhani tatizo mnalijua maana linajirudia Mara kwa Mara. Jana umeme umerudi kwenye saa nne za usiju. Wakazi wa eneo hili wanaomba mrekebishe hili tatizo.
Natanguliza shukrani.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
 
Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
483
1,000
TANESCO NYIE NI MATAKATAKA KABISAA....NA MNAKERA VIBAYA MNO,DAWA YENU NI KUWATAFUTIA MSHINDANI.

HAIWEZEKANI MKATE UMEME TOKA SAA TATU KARIBIA JIJI ZIMA LA DAR ALAFU.MPAKA MUDA HUU SAA MBILI NA MADAKIKA BADO HAMJARUDISHA NA MKO KIMYA BILA UFAFANUZI WOWOTE ULE.

TAKATAKA KABISA NYIE.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom