Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Eneo: Mwembemdogo kigamboni
0767-869896
Maelezo mengine nipigieni...umeme wa REA
 
Pole sana mpendwa mteja wetu je ni eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa hatua zaidi.Jm
Kwakweli Tanesco mnatutesa na hizi mita mpya zifungwazo kwenye nguzo, tatizo kuzima mara kwa mara, kwangu ikifika saa moja jioni tu ni kuzima na kuwaka mda wote mm paka ifike saa 4 usiku, wakati jirani zangu umeme unawaka, sukuhisho ya hizi mita ninini? Naomba Tanesco mje na suluhu ya hili tatizo, nimegundua ni tatizo la wateja wengi wa Tanesco namimi nikiwa mmoja wao, nikero sana.
 
Tanesco janani tusaidieni na tatizo la hizi mita mm mpya zifungwazo kwenye nguzo, Kama kwangu ikifika saa moja jioni tu ni kuzima na kuwaka mda wote, hadi saa 4 usiku wakati jirani zangu umeme unawaka. Suluhisho la tatizo hili ni nini? Nimegundua ni tatizo la wateja wengi wa Tanesco kwa hizi mita mpya.unawezaje kukaa gizani kuanzia saa moja jioni mm paka saa 4 mpaka saa 5 usiku? Kama nahitaji kubadikishiwa mita nifate utaratibu gani? Naomba kuwasilisha kwenu.
 
Tanesco janani tusaidieni na tatizo la hizi mita mm mpya zifungwazo kwenye nguzo, Kama kwangu ikifika saa moja jioni tu ni kuzima na kuwaka mda wote, hadi saa 4 usiku wakati jirani zangu umeme unawaka. Suluhisho la tatizo hili ni nini? Nimegundua ni tatizo la wateja wengi wa Tanesco kwa hizi mita mpya.unawezaje kukaa gizani kuanzia saa moja jioni mm paka saa 4 mpaka saa 5 usiku? Kama nahitaji kubadikishiwa mita nifate utaratibu gani? Naomba kuwasilisha kwenu.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Tuna shida ya low voltage huku kigamboni kisiwani (hospitali ya kijibweni eneo la makaburini bondeni)

Yaan kuna nyumba nyingi zimekua connected kwenye nyaya mbili tu.. sasa umeme umekua mdogo hasa mida ya usiku na weekends (umeme unafika mpaka volt 160)

Nimetoa taaarifa sana ofisi za tanesco kigamboni zilizopo barabara ya kuelekea darajani bila chochote kufanyika... Kwa maelezo kamili nichekini 0689783777
 
Tuna shida kubwa baadhi ya wananchi wa MTWARA eneo la CHIPUPUTA NANDOPE,tunahitaji kuwekewa umeme ila kila tukienda kulipia tunaambiwa mradi bado haujafika wakati nguzo zimelala chini kwa takribani miezi 6 sasa,tunaomba kujua huo mradi unafika lini au sisi hatustahili hiyo Huduma,au mpaka aje Mama ili tuseme kwenye mkutano ndio tupewe huduma? Asante.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Eneo Kabuku Handeni Tanga. Keneth 0714016175
 
Tuna shida ya low voltage huku kigamboni kisiwani (hospitali ya kijibweni eneo la makaburini bondeni)

Yaan kuna nyumba nyingi zimekua connected kwenye nyaya mbili tu.. sasa umeme umekua mdogo hasa mida ya usiku na weekends (umeme unafika mpaka volt 160)

Nimetoa taaarifa sana ofisi za tanesco kigamboni zilizopo barabara ya kuelekea darajani bila chochote kufanyika... Kwa maelezo kamili nichekini 0689783777
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Jm
 
Tuna shida kubwa baadhi ya wananchi wa MTWARA eneo la CHIPUPUTA NANDOPE,tunahitaji kuwekewa umeme ila kila tukienda kulipia tunaambiwa mradi bado haujafika wakati nguzo zimelala chini kwa takribani miezi 6 sasa,tunaomba kujua huo mradi unafika lini au sisi hatustahili hiyo Huduma,au mpaka aje Mama ili tuseme kwenye mkutano ndio tupewe huduma? Asante.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Tunaomba msaada wakuu huku Chamazi Wilaya ya Temeke hatuna umeme bila taarifa yoyote..

Sikukuu hii mnataka tusherehekee gizani, please rudisheni umeme.
 
Wewe unayehudumia hii user name unatakiwa ujue kuwa , humu JF hatutumii majina yetu halisi na tatizo nililolitoa hapo sio Kwenye nyumba yangu tu bali ni tatizo la chamazi nzima.

Usiwe unakopi na kupaste tu huo utumbo wako hapo juu. Kama hauna uwezo wa kutatua tatizo la mtaa mpaka ujue jina la mtu basi hapa sio mahali pazuri na hauna msaada wowote.
 
ELIMU KUTOKA TANESCO

TOA TAARIFA SAHIHI NA KAMILI ILI KUPATIWA HUDUMA BORA NA KWA WAKATI

Mpendwa mteja wetu unapotoa taarifa kupitia njia zetu mbadala za Mitandao ya Kijamii Whatsapp, Facebook, Twitter Instagram Jamii forum, Barua pepe nk unashauriwa kutoa taarifa kamili zitakazowawezesha wataalamu wetu na viongozi kukupatia Huduma bora na za haraka. Tunakuomba uzingatia yafuatayo

1. Jina la mtoa taarifa
Hii inatusaidia kumtambua mtoa taarifa kwenye mifumo yetu. Hakikisha unapewa namba ya Taarifa maarufu kama (TB namba) Ili mafundi wakiagizwa kuja kukuhudumia isije kutokea (wakagongana). Kama usipotoa taarifa ukapewa namba ya taarifa, mafundi wawili au watatu wanaweza kuja kwako kwa wakati mmoja.

2. Eneo, Wilaya, kijiji Mtaa Hii inatusaidia kujua kazi fulani inafanyiwa kazi na ofisi ipi na kujua kama tatizo la eneo husika limeshatolewa taarifa na wateja wengine.
Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti

2. Alama au mtu au kitu maarufu kilichopo eneo lako
Taja, Mfano nyuma ya ofisi ya Mbunge, karibu na Msikiti/Kanisa la eneo X, Ofisi za Serikali, Ofisi za watu binafsi , watu mashuhuri mfano kulia mwa Nyumba ya Msanii X iliyopo eneo la Madale nk.

3. Namba ya simu
Namba ya simu ya mteja aliiyetoa taarifa au inayopatikana. Namba hii inatusaidia kumfikia mteja aliyetoa taarifa kwa wakati, na pia kumpigia mteja aliyetoa taarifa kujua kama alihudumiwa au bado.

4. Jinsi ya kufika eneo husika
Toa maelezo ya ziada ya jinsi ya kufika nyumbani kwako ili hata wataalamu wetu wakifika na simu zako hazipatikani iwe rahisi kukupata au kuulizia kwa majirani zako.

5. Elezea kwa ufasafa unachohitaji, unacholalamika, au unachoomba
Ni muhimu sana kutaja nini unakitolea taarifa ili wataalamu wa TANESCO wajue na kujiandaa kabla ya kufika kwako.

6. Muda wa kutokea kwa tatizo
Kama ni hitilafu au tatizo linalohitaji ufumbuzi wetu tafadhali onesha tatizo limetokea tangu lini au hutokea muda gani.

6. Namba ya mita
Kama ni tatizo la mita au taarifa zinazohusu manunuzi ya umeme uwe na namba ya mita na ni changamoto gani unaipata mfano: __Nikiingiza umeme mita namba xxx inaandika connect au error 77, FF1, Sleep, au nikinunua umeme wa shilingi kadhaa napata ujumbe fulani mfano Insuffient balance nk_

7. Namba ya taarifa
Kama mteja ulishatoa taarifa TANESCO kwa kupiga simu, au kufika TANESCO, anashauriwa kuonesha namba ya taarifa uliyopatiwa wakati wa kutoa taarifa na Ofisi Husika mfano ARS052021TB-0001

Zingatia

Huduma bora inaanza na utoaji wa taarifa kamili na fasaha

TANESCO Tunayaangaza Maisha Yako
 
Wewe unayehudumia hii user name unatakiwa ujue kuwa , humu JF hatutumii majina yetu halisi na tatizo nililolitoa hapo sio Kwenye nyumba yangu tu bali ni tatizo la chamazi nzima.

Usiwe unakopi na kupaste tu huo utumbo wako hapo juu. Kama hauna uwezo wa kutatua tatizo la mtaa mpaka ujue jina la mtu basi hapa sio mahali pazuri na hauna msaada wowote.
Mteja ananafasi ya kuchagua njia gani ya kutolea taarifa ili ahudumiwe chukulia unatoa taarifa bank ungepaswa kutoa namba ya account yako ndio uhudumiwe lakini inapokuja swala la umeme unagoma kutoa taarifa huku ukihitaji huduma hii sio sahihi.Tafadhali tumia njia sahihi ikiwemo kitoa taarifa inbox au njia nyingine itakayotuwezesha kukuhudumia.Jm
 
Sasa kama tatizo ni la mtaa mzima sio la nyumba yangu tu jina langu la nini.

Na bank wangekuwa wanatumia JF wala nisingewatajia Jina langu kwa hapa. Hivyo nahisi kupitia jamii forum siwezi kupata msaada wowote kutoka kwenu nitatumia njia zingine iwapo nitakuwa na tatizo linaloihusu nyumba yangu .
 
Tafadhali tambua taarifa yako inapokelewa na Makao Makuu hivyo taarifa kamili inatusaidia sisi kukuhudumia.Ni ugwana kwa mteja kutoa taarifa kamili hata kwa siri na ushahidi upo wa baadhi ya wateja wamekuwa wakitoa ushirikiano kupitia ukurasa huu na nyingine kutoa taarifa.Hebu chukulia tumefika eneo lako hatuoni penye tatizo tunaulizaje? Nia njema inaanza na mteja kutupatia ushirikiano kama kweli anahitaji huduma yetu. Aidha kuandika bila kutoa taarifa muhimu zitakazotusaidia kukuhudumia haileti afya njema.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Nashindwa kuweka taarifa zangu hapa kwa sababu binafsi,naomba muwasiliane na Manager wa Mtwara ili tupewe huduma au kama vipi wakazitoe tu hizo nguzo walizozilaza chini kwa miezi yote hiyo wakati hakuna mradi(kwa maelezo yao) watumishi wa Tanesco Mkoa-Mtwara.
 
Temeke kurasini huduma kwa wateja ni wagumu kupokea simu pia simu ya ttcl haifanyi kazi na namba0712052720 ni namba binafsi mwenye hiyo namba yupo Kigoma
 
Mi ni fundi umeme wa majumbani.
Nipo Karagwe Kayanga.

Nimekuwa nikifanya kazi zangu vijijini hata wilaya za jirani.
Lakini nimekutana na tatizo la wizi wa umeme/uhujumu.

Wananchi walifungiwa mita lakini hawajawahi kulipia chochote. Huu ni mwaka wa tatu hivi.
Wanahitaji kulipa lakini wamekosa pa kuanzia maana wakienda kulipoti wanaogopa faini. Hili hali walifunga kipindi cha REA.Labda niseme inawezekana kuna namna wizi ulipita kipindi hicho. Maana wengi vijijini hawana elimu sahihi juu ya ufingaji wa umeme.

Hawafahamu habari za wakandarasi wakiwaona wafanyakazi wa TANESCO wanawaomba wawafanyie mifumo yote matokeo unatokea uhujumu.

WIZI WA MITA

Pia kwa sasa kimekuwapo wizi wa mita hasa zinazo pachikwa kwenye nyumba.

Kuna matukio kama matano ambayo nimekwenda kufanya tasimini ya uharibifu. Na kwa tukio baya nimekuta mita zimen'golewa na watuhumiwa hawajulikani.

Wateja huwa nawaelekeza ofisini watoe taarifa .Lakini huwa hawahudumiwi kwa wakati maana kuna taratibu za kuitafuta uanza kufanyika. Labda hamjagundua jambo mi hawa wezi wengine hutumia akili na ndiyo maana huwa mafanikio ya kuwapata hawa wahujumu hayafanikiwi.

Naomba muwe na timu ya kufuatilia uhujumu nje ya mfumo wenu wa ofisi.

Fanyeni upelelezi hata wa kiteknolojia kama inawezekana mita zote ziwe na gps ili ziweze kufuatiliwa kwa ukaribu.
Pili watumie Wakandarasi waaminifu maana wanajuana na wafundi wengi waaminifu.

Hapa chini nitaambatanisha picha ya mita ambayo ilikuwa inakaribia kuibiwa na wahujumu huku amewapa jina la utani.(VISHOKA) Lakini majirani waliwakurupua hawakumaliza hadhira yao. Lakini inavyoonekana hawa wezi waliwahi kuwasiliana kwenye mfumo wenu ama wamo maana wanajua pamoja kuuza hizo mita waibazo.

Pia nawapongeza TANESCO wilaya ya Karagwe kwa utendaji wao wa kazi wakati huu.Kuanzia mapokezi, Mhasibu,Meneja na vijana ambao wanafanya kazi na meneja. Wanajitoa sana maana wateja wangu ambao huwa wanahitaji huduma wanazipa kwa wakati.
Emergency wanastahili kupewa nguvu zaidi maana wanafanya kazi katika mazingira hatari hasa nyakati za usiku. Maana wana maeneo makubwa mno.

Naomba pia kama mtaweza kuipatia nguvu kazi sehemu ya sarveh maana ana eneo kubwa mno na hana usafiri wa kumfikisha eneo la kazi yake kwa wakati.

Walau ofisi impatie usafiri wa pikipiki maana anatembea mwendo mrefu sana na huenda anatumia muda mwingi sana kutembea na miguu kuwasadia wateja wetu.Maana nakumbuka kuna kipindi niliwahi kumuomba amsaidie bibi yangu (SINA MAHUSIANO NAYE YA DAMU) ambaye alikuwa katika mazingira magumu kidogo na kampuni yetu huwa inatoa msaada hasa wa kiufundi na matengenezo ikiwemo na vifaa kwa wazee wazee kama eneo limepata mradi mpya wa umeme.
Lakini survey alitumia gharama zake mwenyewe kujisafisha tena wakati ambapo alikuwa amechoka na kazi ni kama ilikuwa imeisha muda wake anamsaidia bibi huyo.

KWA LEO NAISHIA HAPO ILA WAKATI UJAO NITAKUJA NA JAMBO LINGINE.(UPOTEVU WA MITA ZA WATEJA)

OFISI NINAZO FANYIA KAZI NI

JOSSEPH KOMBA(DANDU )

IMG_20210507_174045_2.jpg
 
Back
Top Bottom