Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Kero za umeme zinazidi Songea. Tangu asubuhi hadi saa hizi umeme unazimwa na kuwasha kila baada ya dakika 5. TANESCO acheni hizo kama mmeshindwa kazi mbinafsishwe tu aaargh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika tanesco wanachangia kudorala kwa maendeleo ya huu mji wetu.umeme nimuhim sana kwamaendeleo ya watanzania.
Tanesco nishirika linaloficha mafisadi wakubwa hapa nchini kwetu.ndio shamba lao wanavuna mda wowote wanaotaka.
Hakika itungwe sheria yakuishtaki tanesco pindi wanapo kata umeme bila sababu zenye mashiko.inakera sana.
Raisi kikwete ile mashine uliyoileta songea nimzigo tu.narafiki yako nchimbi hana jipya.tulitaraji baada ya kuvuliwa uwaziri tungemuona huku songea,lakini hataki kuludi kwao.
Tanesco songea sisi vijana tunategemea sana umeme ili tujiletee maendeleo yetu na ya taifa kwaujumla.badilikeni tanesco
..nani kakudanganya Nchimbi kwao ni Songea? ..Nchimbi ni mtu wa Mbeya na kamwe hawez kuwa na uchungu na maendeleo ya Songea. Mwacheni amalize muda wake asepe, ashavuna shamba la bibi....
Kuna ndugu yangu alisafiri kama siku tatu zilizopita akitokea dsm.
Anajutaaaaa kuja na Android phone Songea.!
Bora angekuja tu na 1100 yake.
hiyo aliyokuja nayo haitumii umeme mkuu!!
hiyo aliyokuja nayo haitumii umeme mkuu!!
Muombe Mungu akunyime ugali akupe hekima na akilihiyo aliyokuja nayo haitumii umeme mkuu!!
Kero za umeme zinazidi Songea. Tangu asubuhi hadi saa hizi umeme unazimwa na kuwasha kila baada ya dakika 5. TANESCO acheni hizo kama mmeshindwa kazi mbinafsishwe tu aaargh
We jamaa umeme songea bado haujaanza kusumbua we jamaa !
Mbona muongo hivyo ! Yaani kila baada ya dakika 5 unawaka alafu unalalamika !
Ngoja utakapo anza may be wewe ni mgeni !
tumia kichwa kufikiri
Je wewe umetumia nini mpaka ukanijibu hivi? Unajibu baada ya kufikiri au unakurupuka tu kijana!!
Unajua ni kwanini nimemuuliza swali jilo?
Mwenye akili timamu lazima angeuliza vile, sasa sijui akili zako unazitumia kufanya nini!!
Nenda kamuulize huyo niliyemuuliza hilo swali kwanini nimemuuliza hivyo kisha uje hapa tena kuhara kama bata!!!
Huna lolote unalolijua wewe.
Mimi ndiye niliyeandika ile post ya "android phone".
Aniulize nini sasa?
Kilaza weeeee..! golota
Achana na hili jinga.