TANESCO Songea mnashida gani??

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
Naamini mnaendelea vizuri.

Kichwa kinajieleza.

Ni hivi TANESCO huwa wanakata umeme hadi kero tena bila taarifa.Je hii ndio "here work only"?Mfano jana wamekata saa tano wakarudisha saa sita usiku wa kuamkia leo.Naomba wahusika mtujuze kama mgao umeanza rasmi kwa nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya?

Rejeeni kaulimbiu yenu ya TUNAANGAZA MAISHA YENU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom